Kivazi gani nitupie, msaada tafadhali dada zangu

Zinduna

JF-Expert Member
Nov 6, 2011
2,378
3,379
Nimepata mwaliko wa mtoko weekend hii kutoka kwa kijana aliyekuwa akinitupia nyavu siku nyingi kidogo. Ni takriban miezi nane sasa tangu nitemane na my BF, baada ya kunitenda. Sasa nimeona nitoke na huyu mtupa nyavu ili nijue sera zake kabla sijafanya uamuzi.

Sasa shida ipo kwenye kivazi cha kutokea. Jamani si mnajua tena dada zangu, mtoko wa kwanza unaleta tashwishwi. Hapa nimewaza na kuwazua sijapata jibu. Naombeni msaada wa haraka ili nijue kama itabidi nikimbie Kariakoo fasta fasta maana weekend ndiyo hiyoo inajongea.

Vaa kwa heshima ila kupendeza muhimu usioverdress wala kujipamba .kuwa natural ila upendeze
best wishes
 
Piga pedo pusha ya njano blauz nyekundu ,weka hereni za bluu,lips weka silver,hapo kwenye eyes paka njano itaendana na pedo, miguuni high heels za zambarau ,nywele ziwe za brown tafadhali,sipati picha unapendezaje mrembo!
 
Mweh! si nitakuwa kama Joti wa Ze Comedy
 
Vaa simple tu wala usicomplikati kbs,km ni mvaaji suruali unaweza pija jins na top isiyoacha sehemu kubwa ya mwili wazi na iwe ndefu kidogo usije ukauza kiuno,simple makeups,usivae nguo mpya wala kupulizia pefyum kali sn,usiweke mawigi epuka kuwa too artificial!then ibuka ukiwa full kujiamin shost usiwe mwongeaji sn sikiliza sera kwa makin ila usiwe serious sn!
 
Kuna kivazi kimeingia hivi karibuni kinaitwa LadyPepeta, nadhani kingekufaa sana sana ila kwa upande wa rangi ningeshauri uvae zozote zile ili zenye rangi ya hudhurungi na chanikiwiti.
 
watu wa dizaini yako ni wachache sana, una bahati nimeshoa.
Vaa simple tu wala usicomplikati kbs,km ni mvaaji suruali unaweza pija jins na top isiyoacha sehemu kubwa ya mwili wazi na iwe ndefu kidogo usije ukauza kiuno,simple makeups,usivae nguo mpya wala kupulizia pefyum kali sn,usiweke mawigi epuka kuwa too artificial!then ibuka ukiwa full kujiamin shost usiwe mwoneaji sn sikiliza sera kwa makin ila usiwe serious sn!
 
sema umbo lako liko vip bana maana tunaweza kukwambiaa vaa hivi ..kumbe ndo unaharibu....

Umbo langu halitofautiani sana na la yule Lulu mwigizaji, lakini labda nimemzidi urefu kidogo na kijikalio na hipsi za kiushkaji. vigauni vya tight huwa zinanikubali na suruali za kubana zinanikaa vizuri pia
 
DSQUARED2%2BPump%2BCarrie%2BVernice%2BSfumata.jpg

J%2BBrand%2BLow-Rise%2BSkinny%2BJeans.jpg

SPLENDID%2BHeather%2BGrey%2BRibbed%2BStrap%2BTank%2BTop.jpg

Crosby%2BShawl%2BCollar%2BBlazer.jpg
 
Mmh!! Zinduka umemtoa wapi huyo mtupa nyavu?! Vaa kawaida ila pendeza mpenzi !!god luck
 
Vaa simple tu wala usicomplikati kbs,km ni mvaaji suruali unaweza pija jins na top isiyoacha sehemu kubwa ya mwili wazi na iwe ndefu kidogo usije ukauza kiuno,simple makeups,usivae nguo mpya wala kupulizia pefyum kali sn,usiweke mawigi epuka kuwa too artificial!then ibuka ukiwa full kujiamin shost usiwe mwoneaji sn sikiliza sera kwa makin ila usiwe serious sn!

Nimekusoma mwanawane, ahsante sana shost
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom