naona aibu!

naona aibu!

angomwile

Senior Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
153
Reaction score
81
Jamani mwenzenu kuna house girl nampenda sana ila naona aibu kuweka wazi kwa marafiki zangu sababu tu ni hgirl?niweke wazi au niende kimyakimya tu?wadau?
 
Sasa aibu ya nini?
We kaongee nae kwanza, kama na yeye atakupenda anzeni uhusiano wenu alafu ndio ufikirie kama unataka kuwaambia hao rafiki zako au vipi. Kumbuka rafiki akishindwa kukuelewa anaweza kua sio rafiki mzuri (ingawa anaruhusiwa kukukosoa, ila hakuna kosa hapo).
Kila la kheri!
 
Housegirl ana tofauti gani na mwanamke mwingine......?
 
jamani mwenzenu kuna house girl nampenda sana ila naona aibu kuweka wazi kwa marafiki zangu sababu tu ni hgirl?niweke wazi au niende kimyakimya tu?wadau?
mhhhh umeoa?
 
duh! i hate dis kind of men.............yani huwez kusimamia maamuzi yako binafsi kwann loh!
mwanaume rijali ni yule asimamiaye maamuzi yake binafsi mweh! ina mana wakikuambia usimfate au mwache kisa hgl utamwacha hata kama ndio heart yako imeozea pale loh!
just try to be a man once in ur damn life
 
you are turning me on with this post lol
 
eeenh unapenda vya urahisi House girl mwache afanye kazi awwakomboe wazazi wake kijijini maana we unaonekana mrukaji hata rafiki zako wanajua ndiyo maana unawahofia.
 
we dogo,humpendi ndio maana unaulizauliza!mapenzi upofu,alaaaah
 
Housegirl ana tofauti gani na mwanamke mwingine......?
Dogo anadhani wanawake wako tofauti kati ya waigizaji(Preta)na mahausigel.Mapenzi hayachagui kabila. Siku hizi Muzungu Muchina huwoana,Mjapanise Muafrika vilevile. Uzuri wa mwanamke si urembo ni tabia ah! Nalog off
 
Back
Top Bottom