Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,440
- 1,029
Wateja wawili wakiwa hotelini wakisubiri huduma. [WAITER];Hello,naweza kuwahudumia? [MTEJA WA 1];Niletee juisi ya parachichi. [MTEJA WA 2];Nami pia nahitaji juisi ya parachichi,ila glasi iwe safi tafadhali!. Baada ya dakika tano waiter akarejea na glasi mbili za juisi ya parachichi kisha akasema;'samahani,ni nani kati yenu alisema anahitaji glasi safi?'.