Naitaji wanyama wawili Simba na Tembo tawapataje?

Naitaji wanyama wawili Simba na Tembo tawapataje?

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2011
Posts
6,764
Reaction score
908
Wana JF.
Naombeni mnisaidie jinsi ya kupata awa wanyama Simba na Tembo.
Nipo radhi kutoka kiasi chochote cha pesa, lakini sitaki wa wizi naombeni mnisadie wana JF wenzangu.

Mwenyewe kujua anisaidie
 
nenda wizara ya maliasili na utalii watakupa utaratibu wote wa vibali namna ya kuwinda na gharama zake
 
kuna jamaa yangu anajua sana kuchora, ntaku PM namba ya mke wake, maana kapewa limbwata na mkewe, mkewe kahodhi simu ya jamaaa
 
mi nina tembo dume.....una sh ngapi.......?
 
kuna jamaa yangu anajua sana kuchora, ntaku PM namba ya mke wake, maana kapewa limbwata na mkewe, mkewe kahodhi simu ya jamaaa

Ndugu yangu mimi naitaji wanyama niliokuambia, sasa mambo ya mke wa mtu hapana.
 
Kama KIA ni shida nenda Waso Airpot loliondo waone wale waarabu pale unajichagulia tu mizigo kirahisi, nahisi wana huduma ya home deliveries pia
 
nenda wizara ya maliasili na utalii watakupa utaratibu wote wa vibali namna ya kuwinda na gharama zake

Mkuu, pale una jamaa yako yoyote anaweza kunisaidia? Nimeishakwenda mara nyingi wananikwamisha ndugu yangu.
 
Wana JF.
Naombeni mnisaidie jinsi ya kupata awa wanyama Simba na Tembo.
Nipo radhi kutoka kiasi chochote cha pesa, lakini sitaki wa wizi naombeni mnisadie wana JF wenzangu.

Mwenyewe kujua anisaidie
mkuu hebu ni PM nikupe namba yangu tuchonge.
 
Tembelea Idara ya wanyamapori,wana orodha ya makampuni ya uwindaji katika mapori ya akiba nchini
 
Kuna jamaa moja aliniambia anae Simba kule Katavi nimekwenda kumuona Simba mwenyewe mzee sana.

Nataka wawe wadogo
 
Mkuu utaweza kuwapa chakula kufunga wanyama kazi sana, bora Tembo anakula majani Simba je kila siku kilo 5 za nyama
 
Back
Top Bottom