Why you guys always thinking about sex....!!!?

Why you guys always thinking about sex....!!!?

Zinduka ushapata kivazi cha kutupia?

Mada: subiri wenyewe wako njiani watakuja kukujibu.

Mzima weye?
 
Zinduka ushapata kivazi cha kutupia?

Mada: subiri wenyewe wako njiani watakuja kukujibu.

Mzima weye?

My Sweetlady, nishapata mwayego, hapa na count down tu, naisubiri jumamosi kwa shauku kweli.....
 
My Sweetlady, nishapata mwayego, hapa na count down tu, naisubiri jumamosi kwa shauku kweli.....
Good...jmosi kabla ya kwenda kwenye jihoteli la kifahari unitumie pic nikuone ulivyopendeza....
 
Good...jmosi kabla ya kwenda kwenye jihoteli la kifahari unitumie pic nikuone ulivyopendeza....

Hata mazoezi ya 'kat wok' nishaanza kufanya c unajua miondoko nayo inachangia katika kufanya maamuzi!!!
 
ule mtoko keshakuomba na tundi mapema hii ? Kimbia shost utamegwa bure maisha yenyewe haya

Ni mapema mno, hilo waa silitarajii, unajua mie nina staha sana
 
Hata mazoezi ya 'kat wok' nishaanza kufanya c unajua miondoko nayo inachangia katika kufanya maamuzi!!!
Hahahaha!... Zinduna jaman! Khaa sipati picha kat wok zinavyofanyika hapo chumbani!. I wish ningekuwepo nikupe maksi..lol...
 
Hapa nimeweka CD ya Miss TZ, naigilizia miondoko kiushkaji
 
Usijebadilisha mawazo bure ya mtoko....!

Sex is LIFE .. and .. WE LOVE LIFE ...
 
Smile aka Bebii ana vijineno kha Mzaramo... lol

Halafu yaweza kuwa ni chotara wa kizaramo na ......
Ila me love her ways banaa. By the way I wish you luck kwenye kamtoko, si utatusimulia yaliyojiri?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom