Hivi Obama naye ni shoga?

AMINATA 9

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
2,120
640
obama.jpg hii foto nimeioa some where cjabilivu mai aizi
kumbe ndio mana wanatetea ujinga loh!
 
hapo inaonyesha why anautetea ujinga,kumbe ndio zake na bwana shemeji
 
kama pichaduka vile...anyway i cant believe my eyes
 
we Aminata wewe.....hii ni....na huyo mwingine ni nani....hivi mbona...khaaa.....sielewi bana.....
 
Basi wako viongozi wengi kama hivyo ....... huyu wa IRAN

images
hawa sio kama wa obama na shemejiiii huoni tafawiti nn
hawa wako wanabusiana kama kawaida tu........mi hua naona waarabu wengi hufanya ivo wakikutana kila mara wanabusiana mashavuni na si midomoni loh!
 
we Aminata wewe.....hii ni....na huyo mwingine ni nani....hivi mbona...khaaa.....sielewi bana.....
ndio na mm nimestuka kweli mana hata sio bahati mbaya wako deep kihisia kinoma loh!
zem colours
 
Nimereport kwa Obama whitehouse subri uone JF BAN
SERVER IKO STATE
loh! kwani ni uongo jamani c nikweli na foto inaonesha kila kitu wanavutiana mijihisia hapo hadi wameclose eyez zao loh!
 
kama pichaduka vile...anyway i cant believe my eyes
me pia cjaamini kama baba anaweza kua hivi loh!
ngoja wapewe haki zao hapa tz ndio mtawajua hadi mawaziri na wabunge nao wamo kumbe loh!
mtasonyajeeeeeeeeee
 
hawa sio kama wa obama na shemejiiii huoni tafawiti nn
hawa wako wanabusiana kama kawaida tu........mi hua naona waarabu wengi hufanya ivo wakikutana kila mara wanabusiana mashavuni na si midomoni loh!

Haya bana

bush-kiss-saudi.jpg
 
me pia cjaamini kama baba anaweza kua hivi loh!
ngoja wapewe haki zao hapa tz ndio mtawajua hadi mawaziri na wabunge nao wamo kumbe loh!
mtasonyajeeeeeeeeee
Ngoja nianze kutengeneza njia ya kuanza kuhama sayari hii,.....pumbafuuuuuuuuuuuuuuuu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom