Harufu hii mbaya ndani ya maktaba ya mkoa

Kiganda

Senior Member
Oct 3, 2011
130
13
Hivi karibuni ndugu zetu waislamu waliadhimisha sikukuu ya idd mubarak ijulikanayo kama sikukuu ya kuchinja. Kila msikiti ulichinja na kugawa nyama kwa wahumini wao. Kero imekuja baada ya baadhi ya misikiti kuwa na kiasi kikubwa cha nyama na nyingine kuachwa imetelekezwa misikitini hadi kuozeana kama ilivyokutwa katika msikiti wa jirani na maktaba mkoani Mtwara. Watumiaji wa maktaba wanashindwa kujisomea na wahudumu kuikimbia maktaba. Harufu ni kali mno hadi majirani wamehama makazi yao. Swali ni kwa nini hawakuchinja nyama ya kuwatosha au kuigawa kwa watu wengine? Nawasilisha...
 
Mkuu hii haiwezi kuwa kweli,nyama ni dili mikoa ya kusini kwakuwa sio wafugaji,hili la nyama kukosa watu haliwezekani,kuna muda nilikuwa napeleka ng'ombe huko kwa lori na ilikuwa inalipa sana.
 
Labda ngozi na vichwa pamoja na kongoro na utumbo vilikosa walajia vikatelekezwa aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
Hivi karibuni ndugu zetu waislamu waliadhimisha sikukuu ya idd mubarak ijulikanayo kama sikukuu ya kuchinja. Kila msikiti ulichinja na kugawa nyama kwa wahumini wao. Kero imekuja baada ya baadhi ya misikiti kuwa na kiasi kikubwa cha nyama na nyingine kuachwa imetelekezwa misikitini hadi kuozeana kama ilivyokutwa katika msikiti wa jirani na maktaba mkoani Mtwara. Watumiaji wa maktaba wanashindwa kujisomea na wahudumu kuikimbia maktaba. Harufu ni kali mno hadi majirani wamehama makazi yao. Swali ni kwa nini hawakuchinja nyama ya kuwatosha au kuigawa kwa watu wengine? Nawasilisha...

Hapo kwenye RED, hii sikukuu ndo kwanza naisikia kwako...
 
Labda baadhi yao walificha ili zipitie mlango wa nyuma...siamini kama nyama inaweza kukosa walaji. Kaharufu ka ufisadi nakasikia kwa mbaali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom