Ushauri: Jina Jipya

Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,831
1,164
Nina mpango wa kubadili ID yangu ya Mwita25 kwasababu imekaa kishamba sana. Kwahiyo, ukiwa mpiganaji mwenzangu, naomba ushauri na maoni yako juu ya jina jipya linalofaa. Mchango wako ni muhimu sana na mshindi atapata kavocha ka buku 10 kwa njia ya PM kama shukrani yangu. Vigezo na masharti havitazingatiwa, Kazi Kwako mwanakwetu. Haya twendeeeeeeeeee
 
nina mpango wa kubadili id yangu ya mwita25 kwasababu imekaa kishamba sana. Kwahiyo, ukiwa mpiganaji mwenzangu, naomba ushauri na maoni yako juu ya jina jipya linalofaa. Mchango wako ni muhimu sana na mshindi atapata kavocha ka buku 10 kwa njia ya pm kama shukrani yangu. Vigezo na masharti havitazingatiwa, kazi kwako mwanakwetu. Haya twendeeeeeeeeee
mwiba25
 
Back
Top Bottom