JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kweli mlevi ni mlevi tu.kulikuwa na daktari 1 ambaye aliwakusanya walevi wa chang'aa na gongo,akawaweka kwenye room 1 na kuanza kuwaeleza madhara ya hizo pombe,kuwathibitishia kuwa pombe ina...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
1.Sister duu alkuwa ndani ya daladala, tumbo likaanza kumsumbua coz ya gesi. Demu akaona bora ajambe kwa kufuata biti la mziki.... Dah, kweli kajamba kufuata biti freshy na tumbo...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Nyie Wangoni msiibe mafuta ya mkandarasi... :) (Bunge Mkutano wa 5, kikao cha 2)
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rastaman was sunbathing nude on the beach.When a little girl came towards him.So he covered himself with a newspaper.She came up to him and asked 'wah yuh ave undah de newspaper? Thinking quickly...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
A new generation of Alarm Clock now in the Markets... A New technology coming Alarm Clock Wake Up !!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Vilaza wenzangu duniani tutumie siku hii kujiendeleza. Na kujisomea. Ila kumbuka kusoma ni kuelewa kukesha ni Mbwembwe. All the best form two student in your exams.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
A counterfeiter decided that the easiest way to pass off his phony $18 bills would be to unload them in some small rural town, so he drove until he found a tiny town with a single general...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna jamaa mmoja kaikoleza kichizi bangi si ikamtuma avue nguo zote na akaenda kwenye kioo kujitazama akajiona kama kavaa suti akatoka kama alivyo mpaka kwa masela wake kwa kujidai kweli...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
tatizo utelezi.
0 Reactions
27 Replies
3K Views
ni asubuhi njema naamka najiandaa kwa ajili ya masomo yangu ya kawaida...ni jumatatu nyingine ambapo nipo ktk mfungo kwa ajili ya vitu fulani vinavyo husu maisha yangu.sina hili wala lile...tukiwa...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
nini madhara ya kutokuoga?? huku nilipo baridi inaanza na nahisi ratiba yangu ya kuoga itabadilika lol what is the worst that can happen to me???? nipeni darasa....lol
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wenzetu wameendelea,wanaanza kuvumbua vituko...Hebu cheki hizi picha __ Reason to Edit: Nimekusaidia kuweka picha, maelezo utaweka mwenyewe.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Msidanganyike, makada wote wakuu wa CCM wakiwemo wabunge na mawaziri hutembea na bastola -- na hii imekuwa hivyo siku hizi kutokana na hali ilivyo. Tatizo ni kwamba wanapokamatwa kwa kosa lolote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati tukio la polisi kuvamia mkutano wa CDM pale viwanja vya NMC unga Limited likitokea, inadaiwa kuwa Mhe. Mwenyekiti wa CDM Bw. Freeman Mbowe alikuwepo lakini cha ajabu alifanikiwa kuchoropoka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukifuatilia miezi yote huwa ni siku 30 au 31 na february ni 28 au 29 ila mwezi julai na august ina siku 31 yote ikifuatana naomba kujulishwa kufuatana huko ni kisayansi au ni utaratibu ili siku...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Mchungaj alikua akihubili,akasema hv:Siku ya mwisho kutakua na vilio na kusaga meno.Kulikua na wazee wenye mapengo wakarukaruka na kusema aleluyah,ahimidiwe bwana mungu wa majesh tumenusulka.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
I was too busy that is why i was not arround.....i do miss you guys....do you misss me????/mwaaaah nakupenda
1 Reactions
86 Replies
7K Views
Mke wa Frank anajivunia mume mtulivu, hashindi baa na hatongozi videmu. **** Akitoka kazini huenda kucheza basketball na hurudi nyakati za dinner. Siku moja mkewe akamhurumia. Anachoka na kazi...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Leo nimepita mitaa ya katikati ya Jiji nikaingia katika mgahawa mmoja na kukuta watu wakiwa na mjadala wa Lema kujipeleka Gerezani. Wengi wao walikuwa wanahoji kwamba tangu lini mwanaume...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
MWANAMUME raia wa Marekani aliyekuwa na matatizo ya ugonjwa wa ngiri aliamua kujifanyia upasuaji kwa kujichana kwenye tumbo ili kutatua tatizo na kisha aliwasha sigara na kuchoma sehemu ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom