Enzi hizo - Miaka 50 baadae | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Enzi hizo - Miaka 50 baadae

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kivumah, Nov 10, 2011.

 1. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Tunapoelekea kufikisha miaka 50 tangu Uhuru wa Nchi hii, hebu tukumbushane matukio/jambo/suala/picha/kituko/vimbwanga iwe katika nyanja ya Burudani, Starehe, Michezo, kijamii ambayo kwa akili ya kawaida ni Nadra kuyaona yakifanyika sasa hivi katika Dunia ya sasa ya Utandawazi.

  Ngoja Nichokoze: Enzi hizo nakumbuka kuna watu walikuwa wanarekodi katika mikanda(Tape) mechi za Simba na Yanga zilizokuwa zinarushwa Live na Redio Tanzania(RTD), nadhani kwa lengo la kuziuza, au kukumbushia kusikiliza.
  Enzi hizo za watangazaji mpira kama Abuubakar Lyongo, Sued Mwinyi....n.k
  Kwa akili ya kawaida, sidhani kama kuna anayefanya hivyo sasa hivi...
   
 2. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  miaka 50 ya uhuru umeme shida!! najuuta!! mi sitaki uhuru bora niendelee tu kua mtumwa!
   
 3. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   
 4. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #4
  Nov 10, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Ushakula mchana huu weye??!!!, karibu tinywe Supu ya Pweza
   
 5. F

  Fernandes Rodri JF-Expert Member

  #5
  Nov 10, 2011
  Joined: Apr 11, 2009
  Messages: 407
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  umenikumbusha mbali sana, na hao inaonesha ni watoto wa muheshimiwa fulani, kuwa na redio kamahiyo kwa wakati huo ilikuwa issue
   
Loading...