Wadau habari za asubuhi,natumaini nyote ni wazima na mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku.Kwa upande wangu sio shwali sana kutokana na jambo linalonisibu hapa nyumbani.
Nina tatizo la umeme...
Habari zenu.
Vimeokotwa vyeti vya ndugu OMARI IDDI MALEN'GE.
cheti cha form four, six na chuo kikuu ( udsm). vyote ni original Kwa yoyote anae mfaham awasiliane kwa no. 0784-292758
Nb. kwa...
Kuna mwalimu wa manispaa ya Temeke amejinyonga, inasemekana moja ya sababu ni kutokana na ugumu wa maisha.
Mwalimu huyo mkazi wa Yombo Buza Temeke jijini Dar es Salaam alienda lodge na kukodi...
DAR ES SALAAM
MJANE aliyelalamika kudhulumiwa mirathi mbele ya Rais John Magufuli, katika sherehe za siku ya Sheria, amefunguliwa kesi na mtoto wa marehemu akidai fidia ya Sh milioni 400 kwa...
Mtafiti wa viumbe hai na mazingira kutoka Chuo Kikuu cha Bayreuth cha nchini Ujerumani, Dk Andrew Hemp ameelezea sifa za mti ujulikanao kama Mkukusu kuwa unaweza kuishi kati ya miaka 200 hadi 300...
Kuna watu wanasema eti GWAJIMA amesema imetosha eti kwa sasa akae kimya[emoji40]mimi nasema hapana lazima aendelee kupiga kelele maana ni agizo la aliyempa uasikofu na utume mkuu. tena Gwajima...
Mto Ruvu siku za nyuma baadhi maiti ziliokotwa zikiwa zimeharibika,hakuna tamko.
Ben Saanane kapotea katika mazingira yenye utata,kimya!
Mgombea viti maalum wa CHADEMA Hai ,kafa kifo cha...
Katika juhudi za kuongeza idadi ya watu inayoendelea kupungua, nchini Uhispania sasa serikali imeamua kumteua waziri wa masuala ya ngono.
Waziri mkuu wa nchi hiyo Mariano Rajoy amethibitisha...
Wakuu ni takribani miezi mitatu sasa tangu nianze kuota hii ndoto ya kupaa na mara nyingi hii ndoto huwa naiota mida ya alfajiri na nikishapaa huwa najikuta katika mazingira tofauti na ulimwengu...
Je, ni kweli kuwa unachukia sana watu wanapokuwa na mtazamo tofauti na ulionao? Ni kweli unatamani na hata umewashughulikia wote walio kinyume na wewe kimtazamo?
Ngoja nikufikirishe. Hivi umewahi...
Dah, wakuu nimejikuta namsikitia sana Makonda P.J kwenye huu msala wa majina yake mengine ya Daudi Bashite, bila kujali alinunua au alibadilisha!
Itampa wakati mgumu sana kutuonesha vyeti vyake...
Leo na jana nimefanya utafiti kwenye Stendi kuu ya Iringa na kugundua kwamba Kampuni za usafirishaji abiria toka Iringa kwenda Dar es salaam na Dodoma ama zimepunguza safari za kwenda huko ama...
Kwa hali ilivyo sasa ya kiuchumi kwa watanzania hasa hasa sisi tusio kuwa na ajira maalum (wabangaizaji) tukifika mpka mwezi wa 7 hapa Dar es Salaam mjini bila kurudi vijijini sisi ndio tu...
Wakuu sie ambao tumepata uwezo wa kuingia humu mitandaoni na tukaweza kubadilishana mawili matatu juu ya vitu flani vinavyotokea katika jamii zetu, basi tunauwezo vile vile wa kupigia kelele jambo...
Wakuu,
Nahitaji kujua hasara za kuweka lamination katika vyeti mfano vyeti vya kuzaliwa, cheti cha kidato cha nne, cha sita na vyeti vya university je, zipi ni hasara zake?
TCRA naomba mchunguze hiki kipindi cha shilawadu, kimekosa maadili kabisa, nimeangalia leo walicho kionyesha hakifai kwa malezi ya watoto wetu , ni kama wameonyesha ngono live. yaweza kuwa...
Dah! Nimekuja mitaa hii ya Corner Bar zile mishemishe zilizokuepo hakuna tena, nimejivuta mpaka LA CHAAZ PUB nako pamoja na muziki mzuri ila ndugu zetu hawapo, mi sio mteja lakini huwa napenda...
Kuna mama alikuwa naibu katibu mkuu wa umoja wa mataifa baadae akamaliza muda wake akaja nchini akateuliwa kuwa balozi yaani ni sawa uwe mama mwenye nyumba baadae unarudi kuwa house girl
Sasa...
Hiki ndo naamini kulikuwa kikosi cha kwanza cha timu iliyopita
1. Mizengo
2. Makame
3. John
4. Benard
5. Asha
6. Steven
7. Shukuru
8. William
9. Mary
10.Mark
11. Abdallah
Substitute...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.