Aisee vodacom sasa hii imezidi, Jana nimejiunga 2GB nimestream video tatu tu youtube zenye urefu usiozidi dakika 30 naambiwa bundle limeisha.
Leo asubuhi nimejiunga 500MB nimeingia JF tu naambiwa...
Habari wanajamvi,
Nimetoka Tandika kuelekea Kariakoo na usafiri wa umma, ukweli ni kwamba baada ya basi kutushusha mwisho wa safari Kariakoo Gerezani, ukishuka wakati wa kutoka pale mlangoni...
Wadau mpaka Leo bado najiuliza Juu ya Babu wa Loliondo.Babu huyu maarufu kwa " Babu wa Loliondo" alipata umaarufu mkubwa Kwa kuwatangazia watanzania na watu wa nje ya mipaka yetu kuwa ameoteshwa...
Lazima tuisifu serikali yetu kwa mambo mazuri. Binafsi wiki hii namsifu Rais kwa mambo mawili:-
1. Kuzuia usafirishaji wa mchanga wenye madini (nilitamani iwe hivyo)
2. Kupunguza riba ya mikopo...
Kwako Mh. Naibu waziri wa afya, Dr. Hamis Kigwangala, habari za majukumu natumai unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku ya kutumikia watanzania, mungu aendelee kukupa afya njema na...
Waziri Mkuu Mh Kassim Majaliwa alitangaza kuwa kuanza March Mosi ni mwisho wa matumizi ya pombe kali ktk viroba.
Sasa wazalishaji,wauzaji na wasambazi wenye stock kubwa ya pombe hizo ktk viroba...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Wilbroad Mutafungwa
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Wilbroad Mutafungwa amedai kuwa kada wa Chadema, Anitha Kimario (44) aliyeuawa alikuwa awe...
Habari wanaJF,
Hii ni kero kwa wale wadau wanaopendaga kuquote thread zenye maneno mengi ( Uzi mrefu), kwakweli inatupa kero kubwa sana wachangiaji , hadi kupelekea mtu kuuchoka ule uzi.
Karibuni...
Mlundikano wa Taasisi nyingi kwenye majukumu yanayokaribia kufanana ni upotevu wa pesa za umma kwa gharama za pango, magari, posho za wajumbe wa bodi na vikao vingi visivyo na tija.
PENDEKEZO...
leo maeneo ya kinondoni kwenye vituo vya mabasi nimeona matangazo ya fast jet ya kazi yamebandikwa zikiwemo nafasi za maafisa waandamizi kabisa, nilishindwa kupata picha kutokana na wingi wa watu...
Kwa mara ya nne ( 4 ) sasa nimekuwa nikisikia kuwa kila ziara ambazo Mheshimiwa Rais wetu JPM amekuwa akizifanya Mikoani hasa katika uzinduzi wa Miradi mbalimbali amekuwa akidanganywa ( kuingizwa...
Wakuuu salaam sana.
Leo ni siku ya pili tangu kutekelezwa agizo la serikali la kupiga marufuku uzalishaji pamoja na uuzwaji wa pombe zilizokuwa zikifungashwa katika mifuko ya plastic maarufu kama...
Ingawa misitu ni chanzo cha maji na huvutia mvua, Kijiji cha Masabeda ambacho kipo juu ya ukuta wa Bonde la Ufa maarufu duniani, ipo katika Wilaya ya Karatu inapuuza kanuni hiyo ya utunzaji wa...
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa kamishna mstaafu Zelote Stephen amelipongeza jeshi la polisi Mkoani Rukwa kwa kufanikiwa kukamata kilo mbili za madawa ya kulevya yadhaniwayo kuwa ni heroin na lori la scania...
kama wewe ni kijana na ungependa kuona mwaka huu ukipata mafanikio katika maisha basi achana na hizi tabia .
1.tabia ya kufatilia maisha ya watu na familia zao...
Mnaokuja Dumila au kutoka kuna ajali mbaya ya lori la mafuta linaungua hapa kwenye mashamba ya mitiki kama unakaribia Dumila kutoka Dakawa muda huu.Kuweni makini njia imefunga kwa sasa.
Habari wanajf
Mwidiwe vene wachu?
Kwa niaba ya viziwi na mabubu wooote wanaojua kusoma na kuandika nawasilisha ombi langu kwa mitandao ya simu nchini
Tunaomba mtuwekee kifurushi cha SMS tupu coz...
Dar es Salaam. Tanzania is making efforts to have its national kidnapped by rebels in eastern Democratic Republic of Congo (DRC) to be released.
The Tanzanian is among five miners abducted by...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.