Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu wana jamvi Nimepata habari toka kwa chanzo cha kuaminika kuwa kuna ajali ya bus la Ilyana litokalo Dar kwenda Songea, ajali imetokea karibu na Kijiji cha Yakobi Njombe na majeruhi wamekuwa...
0 Reactions
34 Replies
12K Views
Habari wakuu, Mi nimeuleta uzi huu baada ya kutembelea nyuzi nyingi na habari mbalimbali kutoka mutandaoni na sehemu nyingi ambazo mtu anaweza toa yale yaujazao moyo. Sababu zilizonifanya...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwanza tupeane pole kwa kila mmoja wetu kwa pilika pilika za hapa na pale, za kusongesha gurudumu la maendeleo, baada ya hapo naomba msaada juu ya hiki kinachonichanganya kwa sasa, Toka...
0 Reactions
3 Replies
803 Views
ni kupima tuu, na kujua afya yangu, nakushauri na wewe, unakuta mtu ana kujagundua kansa, ishamla miaka 2, kucheki na kupenda mwili kama unavyocheki gari ni muhimu .
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimesikitishwa sana na kufariki kwa mama mmoja wiki mbili zilizopita, ambaye alikuwa mjamzito katika kijiji cha Nam-bali, Newala mkoani Mtwara baada ya kupata homa iliyopelekea kupelekwa zahanati...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari za leo waungwana, Naomba msaada sana namna ya kupata wafadhili "sponsors " wa NGO yangu ambayo nimeianzisha inahusu mambo ya kijamii na kutoa misaada na elimu kwa watu waishio katika...
1 Reactions
24 Replies
15K Views
Ndugu zangu poleni kwa majukumu ya kila siku. Leo naomba nitoe malalamiko yangu kwa Halmashauri ya mji wa Babati hasa upande wa idara ya maji. Hivi kweli Idara ya maji mmekosa kabisa namna ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani kuna ndugu yangu ni graduate anataka kwenda jeshini mwaka huu. Maana ndo ilikuwa ndoto yake. Kwa sasa Ana miaka thelathini mwezi wa kumi na mbili ndo atatimiza miaka 31.swali langu je...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
ATCL najua biashara ni ushindani lakini destination ya songwe ime washinda tangu miezi mitatu muanze kwenda mbeya mnabeba abiria siyo zaidi ya ishirini, Jitangazeni vizuri msisubiri mpaka...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nampongeza sana waziri wa Maji kuongea hali halisi ya upatikanaji wa nyumba Dodoma. Ni ukweli usiopingika kuwa sio rahisi kupata nyumba ya kupanga Dodoma kwani mji huo ulikuwa haujaandaliwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wana, Nna imani humu kuna vipanga wa kutosha katika kada ya academics. Hebu tutoane ushamba kidogo wazee kuna paper ya mwenzangu mmoja nimeona jambo ambalo nadhani si sahihi na nataka...
0 Reactions
0 Replies
581 Views
Hapa ni kupelekana polisi
0 Reactions
3 Replies
584 Views
Nawasalimu. Nyote si mnajua kwamba pombe ya viroba imepigwa marufuku? Na tayari polisi wameashaanza operesheni za kuwasaka wauzaji wa pombe hiyo kinyemela?. Bila shaka marufuku hii itasababisha...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwanza usalama wetu utakua mdogo turudipo nyumbani kwani kwa saa hizo ni usiku mwingi na mtu huwezi tembea kwa miguu kikomita 1, 2 ukawa na imani ya kufika salama home ukizingatia makundi ya...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hizo ndizo nchi tano tajiri zaidi duniani . 1.Qatar 2.Luxembourg 3.Singapore 4.Kuwait 5.Brunei Marekani Ni ya 13 hivyo basi ijapo Ni taifa kubwa imepitwa hata na nchi tajwa hapo juu.
0 Reactions
14 Replies
30K Views
Wana Jf Naomba niseme kwamba kuna maisha baada ya kustaafu kazi anayoifanya mdada au anavyojibidiisha ndio itakayo msaidia pindi atakuwa hana nguvu ya kutafuta hapa sitawazungumzia wanaume; dada...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hali imekua ngumu sana hususan kijiji cha Mtumbatu ambapo watu ambao hawajakopa mikopo wanahesabika. Bahati mbaya waliokopa wengi wao walidhamiria kutumia katika kilimo, bahati mbaya mvua...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Madawa ya kulevya ni janga
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Serikali kupitia Wizara Ya Afya imevifuta Vituo vyote vinavyotoa huduma za Afya ya VVU Na Ukimwi kwa Makundi Maalum baada ya kubainika kwamba Vituo hivyo vinahusika na kuhamasisha Mapenzi ya...
2 Reactions
94 Replies
19K Views
Back
Top Bottom