Kai Proctor
Member
- Apr 14, 2016
- 40
- 38
Dah! Nimekuja mitaa hii ya Corner Bar zile mishemishe zilizokuepo hakuna tena, nimejivuta mpaka LA CHAAZ PUB nako pamoja na muziki mzuri ila ndugu zetu hawapo, mi sio mteja lakini huwa napenda kunywa sehemu wanapokuwepo, nna-enjoy kuwaona. Acha niende home tu nahisi na bia hazitakwea tena.