Vitendo vya kikatili Tanzania; Kituo cha haki za binadamu mko wapi kwenye haya?

mwananyaso

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
2,995
3,400
Mto Ruvu siku za nyuma baadhi maiti ziliokotwa zikiwa zimeharibika,hakuna tamko.

Ben Saanane kapotea katika mazingira yenye utata,kimya!

Mgombea viti maalum wa CHADEMA Hai ,kafa kifo cha kikatili hapo Kilimanjaro,mpo kimya!

Nini kimewasibu?

Au matamko mpaka wakati wa kampeni za uchaguzi?
Au vitabu vya hesabu zenu haziko vizuri,bivyo mmejaa bofu?
 
Back
Top Bottom