Mstari huu vijana wengi wa chama cha wamekua wakitumia kama kuitetea Bangi.
Mwanzo1:29 Kisha Mungu akasema, “Tazama, nawapeni kila mmea duniani uzaao mbegu, na kila mti uzaao matunda yenye...
Jeshi la polisi mkoani Ruvuma linawashikilia watu wawili Bw.Ismail Tindwa na Bw. David Laizer wakazi wa Kinondoni jijini Dar es salaam kwa tuhuma za kuhamasisha ushoga na usagaji vitendo ambavyo...
Wakati tunajiandaa kuingia kwenye weekend yetu "dume", embu tutafakari kidogo ugumu wa maisha hasa ndani ya jiji la Dsm, jiji la Makonda Paul.
Kuna kila sababu ya kukubali tu kwamba maisha ni...
HABARI NDUGU NA DADA WA JF
ama baada ya salaam naomba kuleta mezani kile ambacho ni maoni yangu kuhusu kile nachofikiria.
wiki nzima imepita nikiwa nafikiria sana jinsi Kesi ya Mh. Lema...
Wanajamvi nataraji mbukheri wa afya.
Leo hapa ninacho taka munijuze ni kwa nini iwe, wengi wanaokufa kwenye MADANGURO na nyumba za kulala wageni wakifanya mapenzi ni WANAUME?
Kwani kuna kitu...
Mzuka wanaJF,
Sitaki kusoma Kwa Da Mange na humu jamvini. Yani natamani niwepo tena kiti cha mbele Jumapili hii Kwa Gwajima akishusha Nondo za Kolomije (the village of the year).
Haki ya nani...
Kada wa CHADEMA katika Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro, Anitha Swai, ameuawa na watu wasiojulikana na maiti yake kuokotwa eneo la TPC, umbali wa takribani kilometa 5 toka Moshi mjini, huku gari...
Habarini za leo wanaJF.
Bila kuleta itikadi ya uvyama hapa, jamani magar ya mwendokasi jijini Dsm, n msaada mkubwa sana. Yako bussy full time na watu wanawahi na kutoka makazini mapema kabisa...
DC HAPI AHITIMISHA ZIARA YAKE KWA KATA 20 KINONDONI
Mkuu wa Wilaya Ya Kinondoni Mheshimiwa Ally Hapi amemaliza ziara yake salama ya kutembelea jumla ya kata 20 za wilaya yake ya Kinondoni kwa...
Habari za mchana wana JF,
Nimebahatika kufanya tafakari kidogo kwenye hili swala la viroba, kinachonitatiza ni kujua je tatizo ni viroba au wanywa viroba?
Tofauti na madawa ya kulevya ambayo...
Habari wana JF.
Naomba kama kuna mwenye taarifa zaidi juu ya hili atujuze.
Kuna meseji nimepokea toka kwa rafiki yangu ya kutahadharisha matumizi ya dawa aina ya paracetamol.
Meseji yenyewe ni...
Toka mabasi ya mwendo kasi wameanza kutoa Huduma mwaka 2016 mwezi April kituo cha Kimara Baruti hakikuwa na Huduma baada ya kugongwa na bus.
Mwezi wa 9 mwaka 2016 ndiyo wakaanza kushusha abiria...
Habari waungwana,
Muda mwingi napendelea kusoma mada za jamii,forum japo si mchangiaji kwa sana napenda kutoa hongera kwa mwanzilishi wa huu mtandao pamoja na wachangiji wote wa jamii forum.
Leo...
Hii ni mihemko tu,serkali ilitangaza kukata asilimia kumi na tano,mapema.sasa hawa wameona wameanza wamepanua midomo,mlikuwa wapi? Naona kama movie vile,hivi serikali wataacha na kurudisha fedha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.