Vyeti vimeokotwa

Veronica7598

JF-Expert Member
Jan 2, 2017
361
408
Habari zenu.

Vimeokotwa vyeti vya ndugu OMARI IDDI MALEN'GE.
cheti cha form four, six na chuo kikuu ( udsm). vyote ni original Kwa yoyote anae mfaham awasiliane kwa no. 0784-292758

Nb. kwa anaezani ni vyake, inatakiwa awe na kitambulisho cha chuo, au passpot size bila hivyo hatutaweza kumwamini kama ni vyake.
 
Back
Top Bottom