Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hulia kwa ' timing ' ambapo kama akiona Waombolezaji wanaoingia ni ' Walalahoi ' hufuta machozi haraka au hunyamaza lakini pindi amwonapo Muombolezaji ' Tajiri ' ameingia hulia ghafla na kwa kutoa...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Hivi Leo nimepata Taarifa za kuthibitisha matapeli wanajitambulisha kama wafanyakazi wa Vodacom makao makuu Mlimani city. Watu hawa wanakutaarifu kua umejishindia Tecno Y2 pamoja na laki mbili...
4 Reactions
4 Replies
3K Views
Muda mfupi baada ya Mbunge Wa Arusha Mjini Mh G Lema kuachiwa mvua ya Mawe imelisafisha jiji la Arusha kama inavyoonekana hapo pichani. Watu walikua wanashangilia kutoka rumande kwa Mbunge huyo...
14 Reactions
74 Replies
8K Views
Wakuu kuna wale wadaiwa sugu wa HESLB,wameshakamatwa kama walivotangaziwa na kupewa muda wa kujisalimisha ili waweze kuanza kurejesha pesa walizonufaika? Najiuliza hivi serikali inapoteza pesa...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
ALIYEKUWA Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, ameufananisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuwa ni kama ‘ndoa ya jinsia moja’, kwa kuwa pande zote mbili zina haki sawa, hata...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwako Kamanda Mpinga, Msanii Ali Kiba amefika nchini leo akitokea Afrika Kusini. Baada ya kufika uwanja wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere alipokelewa na mashabiki wake. Katika hali ya...
2 Reactions
90 Replies
13K Views
Juzi nimekwenda kulala nikiwa na MB 860..........nimeamua asubuhi na washa data baada ya kuwasha data na pata ujumbe umebakiwa na MB 197 nikachoka kabisa......baada ya dakika 10 hivi nikiwa...
11 Reactions
35 Replies
3K Views
Wakuu nipo songea takribani wiki sasa, kuna mzee maeneo ya bomba mbili katika kudadisi asili ya jina na historia ya songea,akatiririka kwa kadiri ya uelewa na kimbukumbu zake, anasema songea ni...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu, Hivi ni lini watu watakufa wote waliomwandika vibaya kama alivyotabiri mtumishi wa 'mungu' Lusekelo maana siku zinaenda hata hatuoni dalili.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau katika pitapita yangu nimeona wale wapenda alcohol ya bei ya chini wapo huku banana na bei tayar juu au ndio lilikuwa lengo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za weekend ndugu yangu, bila shaka upo katika mapumziko murua kabisa siku ya leo na hata kama upo kazini basi unaifurahia siku hii. Leo ningependa kuzungumzia kuhusu ukoloni mweusi Ukoloni...
0 Reactions
0 Replies
741 Views
tangu "ilkusudi" aingie mjengoni,kumebuniwa hashtag mbalimbali na jamii ya watz wanaotumia mitandao ya kijamii. mojawapo ya hashtag zilizojipatia umaarufu kwa siku za hivi karibuni ni #...
0 Reactions
7 Replies
845 Views
-Mara baada ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,Dr.Mahenge kutangaza vita kali dhidi ya dawa ya kelevya,wawili wakamatwa na jeshi la Polisi huko wilaya ya Nyasa wakiwa wamelima bange ekari 8. -Mkuu wa Mkoa...
0 Reactions
2 Replies
834 Views
Hivi karibuni tumesikia kuwa kuna utaratibu wa kuhama mtandao mmoja kwenda mwingine ukitumia Namba ileile, kwa kweli mimi binafsi sijui sababu za msingi za kuhamia mtandao mwingine, Ninawaomba...
6 Reactions
86 Replies
7K Views
"SIKU NJEMA" hii ni tittle ya riwaya ya kiswahili ya Ken Walibora.Kwake SIKU NJEMA ni ile ambayo itakuwa: 1.Hakuna vita,bunduki,mizinga wala mabomu maana hakuna adui,wavamizi wala wezi. 2.Hakuna...
1 Reactions
0 Replies
10K Views
Wadau habari za asubuhi,natumaini nyote ni wazima na mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku.Kwa upande wangu sio shwali sana kutokana na jambo linalonisibu hapa nyumbani. Nina tatizo la umeme...
0 Reactions
4 Replies
994 Views
Habari zenu. Vimeokotwa vyeti vya ndugu OMARI IDDI MALEN'GE. cheti cha form four, six na chuo kikuu ( udsm). vyote ni original Kwa yoyote anae mfaham awasiliane kwa no. 0784-292758 Nb. kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna mwalimu wa manispaa ya Temeke amejinyonga, inasemekana moja ya sababu ni kutokana na ugumu wa maisha. Mwalimu huyo mkazi wa Yombo Buza Temeke jijini Dar es Salaam alienda lodge na kukodi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
DAR ES SALAAM MJANE aliyelalamika kudhulumiwa mirathi mbele ya Rais John Magufuli, katika sherehe za siku ya Sheria, amefunguliwa kesi na mtoto wa marehemu akidai fidia ya Sh milioni 400 kwa...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Back
Top Bottom