Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,471
- 12,373
Kuna mwalimu wa manispaa ya Temeke amejinyonga, inasemekana moja ya sababu ni kutokana na ugumu wa maisha.
Mwalimu huyo mkazi wa Yombo Buza Temeke jijini Dar es Salaam alienda lodge na kukodi chumba ndipo alipotekeleza kitendo cha kujitoa uhai.
Haikujulikana mara moja mwalimu huyo anafundisha shule gani, hivi sasa maiti iko Muhimbili na anatarajiwa kusafirishwa leo kwenda nyumbani kwao Ugweno wilayani Mwanga kwa ajili ya mazishi.
My take:
Kujitoa uhai ni kosa kisheria na mbele za Mungu kujiua sio suluhisho la ugumu wa maisha/matatizo yanayotukabili.
R.I.P mwalimu.