Hii nchi haiishi vituko! Yaani First Lady anaenda kuteuliwa kuwa mbunge akabanane na wakina Bulaya!?

Pozzers

JF-Expert Member
Sep 14, 2013
337
560
Kuna mama alikuwa naibu katibu mkuu wa umoja wa mataifa baadae akamaliza muda wake akaja nchini akateuliwa kuwa balozi yaani ni sawa uwe mama mwenye nyumba baadae unarudi kuwa house girl

Sasa naona leo inajirudia
Mama wa taifa kwa miaka 10
Mwanamke namba moja miaka 10
Anapokea taslima stahiki zote 80% ya mumewe

Leo anaenda kuteuliwa kuwa mbunge akabanane na wakina bulaya
wonder shall never end
 
Kwani anapohubiri "Tanzania ya vi" wonder" weye huwa unaelewaje??
 
Yni
Bulembo vs halima bulembo
Salma vs ridhiwani kikwete

Mjengoni patamu

Wengine endeleeni kudai cheti cha bashite

yani hii series tunayochezewa hapa kwa hii nchi sijui tuipe jina gani ...........au 24hours new season, maana kila siku inaongezwa Episod moja
 
Hillary Clinton..
Hillary aligombea
Na mama kwa sababu alisha kuwa mke wa Rais kama akitaka sana ubunge wangempa jimbo apambane.
Ila mi sijamaind sana na sioni kama rais kaharibu hiivo

Any way , sas turehee kwa Daudi Bashite
 
Kwa misingi tutawalaumu sana vijana hawana uzalendo, kumbe sisi ndio tunawatengeneza kwa matendo yetu.

Nchi inakatisha tamaa sana hii. Bora uishi zako mapolini huko usijue lolote linaloendelea nchini. Yaani ulaji unazunguka kwa watu wale wale tu. Mweeeh.
 
Back
Top Bottom