Hali ngumu ya maisha

Kwa hali ilivyo sasa ya kiuchumi kwa watanzania hasa hasa sisi tusio kuwa na ajira maalum (wabangaizaji) tukifika mpka mwezi wa 7 hapa Dar es Salaam mjini bila kurudi vijijini sisi ndio tu natakiwa tupewe cheti cha uwanaume
Daah.... na sisi wanawake tupewe cheti cha uanaume!!!?
 
Mwafaaa.....hivi hata mfalme anayasikia maisha magumu? Au yuko bize kujenga airport binafsi pale chato?
 
Pambana pesa haina mwenyewe.
Mkuu hizi kauli za pambana pesa haina mwenyewe ni za kukatisha tamaa sana, kama wewe unapambana na kupata kipato kizuri kwa nini usitoe suluhisho kwa hao wanaojiita wabangaizaji! Ifike wakati tuwe na uzalendo wa kweli na kupendana kwa dhati kama watanzania, unapoona nipo shimoni chukua kamba unitupie basi hah hah
 
Mwafaaa.....hivi hata mfalme anayasikia maisha magumu? Au yuko bize kujenga airport binafsi pale chato?


Maisha si magumu kama usemavyo, sema tu mlizoea ubabaishaji na uuzaji madawa huku mkijifanya wajanja. Magufuli anawashikisha adabu, kama unaona vipi rudi kijijini kawasaidie wazazi kulima kwani mjini si kwa kila mtu.
 
Back
Top Bottom