Tai Mwepesi
Member
- Jan 27, 2017
- 28
- 10
Kuna watu wanasema eti GWAJIMA amesema imetosha eti kwa sasa akae kimyamimi nasema hapana lazima aendelee kupiga kelele maana ni agizo la aliyempa uasikofu na utume mkuu. tena Gwajima anaagizwa apaze sauti kama tarumbeta.
ISAYA 58:1 Piga kelele, usiache, Paza sauti yako kama tarumbeta; Uwahubiri watu wangu kosa lao..... Wachungaji aina ya Gwajima wapigao kelele kuwaambia wakuu makosa yao nyakati za leo ni bidhaa adimu mno.
Tulikuwa na mtikila Bwana kamvuna roho ya mtikila imehamia kwa Gwajima mara dufu. Watashindana sana na Gwajima lakini hawatashinda. Songa mbele Gwajima. songa mbele Gwajima. chochea karama yako