namaanisha kuwa ile lamination ikaanza kuishiwa nguvu je haitatoka na baazi ya sehemu katika cheti.Cheti hakipimwi kama kitamvulisho cha electronic.Cheti hupimwa kwa namna nyingi ukiwemo ile ya kudadavua namba ya cheti na mwaka husika.
Laminate for your benefit.Kwenye usaili kitakuongezea marks kwa kuonekana u mtu makini katika mambo yako na kwamba unajijari.
Haiishi kiurahisi kama utakitunza vizuri.Ni vyema kukilaminate kitadumu miaka hata 30 kuliko kukuacha rare, si wajua mwanadamu huama n.k hali itakayopolekea kuchanika kiurahisi.Nimewahi kukosa kazi mahali fulani gvt nadhani jambo la kutolaminate lilichangia pia nikajirekebisha nikasolve tatizo next interview in next year nikapass.namaanisha kuwa ile lamination ikaanza kuishiwa nguvu je haitatoka na baazi ya sehemu katika cheti.
Dah! Mkuu hiyo ni hatariLamination ni mbaya sana. Ni sawa na kuvaa condoms hata dini nyingi zinapinga matumizi yake. Tumia cheti bila kuweka ile condom/lamination ili cheti kiwe na ladha yake halisi.