TCRA: Kipindi cha shilawadu kimeonyesha vitendo si Vya kimaadili

Status
Not open for further replies.

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,185
18,513
TCRA naomba mchunguze hiki kipindi cha shilawadu, kimekosa maadili kabisa, nimeangalia leo walicho kionyesha hakifai kwa malezi ya watoto wetu , ni kama wameonyesha ngono live. yaweza kuwa mawazo yangu lakini content walizo zionyesha leo hazifai ..

Mwanadada aliye make head line week hii Gigy money au Gigy machupi kwa kuchora tatoo ya kwenye msambwanda amedai tatoo yake ya mswambwanda imegharimu milion moja kasoro laki 3 za kitanzania

Gigy alifunguka hayo kupitia kipindi cha the weekend chart show kinachoendeshwa na Suddy Brown na Qwissar Thompson

Giggy alienda mbali zaidi kwa kumuahidi Suddy kuwa atamfunulia chuuupi live ili aione Tatoo yake ilivyo tokelezea kwenye msambwanda wake na huku akimtolea sifa kedekede za mtu aliyemchora tatoo hiyo kuwa ni expert kwenye ishu hizo na huwa hakosei hata kidogo na sio kwenye makalio tu hata ukitaka akuchore kwenye K anachora bila matatizo yoyote muhimu uwe na pesa mkononi

Gigy ameeleza sababu ya kwa nn ameamua kuchora tatoo ya kwenye makalio akadai kuwa amefanya hivyo kama kumbukumbu za kuumizwa mara kwa mara kwenye mapenzi na kudai kuwa kwa sasa hata akiwa kwenye mahusiano ya kimapenzi basi atakuwa mguu moja ndani mguu moja nje kwa kuwa wanaume hawaaminiki na kamwe hawezi kuchora jina la mwanaume yoyote kwenye mwili wake hata ampendaje .
 
Yaan Hakuna kipindi ambacho sikipendi kama hiki mambo yanayoongelewa ni yakipuuzi tena ayafai hata kuonyeshwa kupitia tv,lakin cha kushangaza kinapendwa na wadada na watoto wetu
 
Mwanadada aliye make head line week hii Gigy money au Gigy machupi kwa kuchora tatoo ya kwenye msambwanda amedai tatoo yake ya mswambwanda imegharimu milion moja kasoro laki 3 za kitanzania

Gigy alifunguka hayo kupitia kipindi cha the weekend chart show kinachoendeshwa na Suddy Brown na Qwissar Thompson

Giggy alienda mbali zaidi kwa kumuahidi Suddy kuwa atamfunulia chuuupi live ili aione Tatoo yake ilivyo tokelezea kwenye msambwanda wake na huku akimtolea sifa kedekede za mtu aliyemchora tatoo hiyo kuwa ni expert kwenye ishu hizo na huwa hakosei hata kidogo na sio kwenye makalio tu hata ukitaka akuchore kwenye K anachora bila matatizo yoyote muhimu uwe na pesa mkononi

Gigy ameeleza sababu ya kwa nn ameamua kuchora tatoo ya kwenye makalio akadai kuwa amefanya hivyo kama kumbukumbu za kuumizwa mara kwa mara kwenye mapenzi na kudai kuwa kwa sasa hata akiwa kwenye mahusiano ya kimapenzi basi atakuwa mguu moja ndani mguu moja nje kwa kuwa wanaume hawaaminiki na kamwe hawezi kuchora jina la mwanaume yoyote kwenye mwili wake hata ampendaje .
 
Kwahiyo kaumizwa sana kwenye msambwanda?
Hapo mimi mwenyewe nilishindwa kumuelewa kwa kweli

Maana aliulizwa kwa nini ameamua kuchora tatoo ya kalio akajibu amefanya hivyo kama kumbukumbu ya kuumizwa mara kwa mara kwenye mapenzi sasa nikashindwa kuelewa tatoo ya kalio na kuumizwa kwenye mapenzi zimeingiliana vipi??
 
  • Thanks
Reactions: SDG

Huyo dada akili zake anazijua mwenyewe
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom