Habari za kutwa wana jf…
Leo ndio ile siku ya kuhama mtandao bila kubadili line (sim card) kwa watumiaji wa simu zote Tanzani,
Nataka kujua kama kuna mtu amesha hama mtandao wake na changamoto...
Serikali ilipiga matumizi ya "viroba" kuanzia tarehe 1March 2017.Lakini kama kawaida ya awamu hii hawakutoa maelekezo ya wapi vipelekwe viroba vilivyokuwa maghalani au madukani.
Sasa hivi...
Wakuu naomba Leo kuuliza hivi ni kwanini wakati ujenzi wa maghorofa ukiwa unaendelea neti zinazotumika ni neti za kijani katika kufunikia majengo wakati ujenzi ukiwa unaendelea????
Naomba...
Mbeya, ugonjwa wa nguruwe umeibuka tena na round hii ni mkali zaidi kuliko iliyowahi kutokea hapo awali(nyuma).
Serikali ya mkoa wa Mbeya imewaagiza Maafisa Afya wa wilaya kuhakikisha mifugo hiyo...
ajabu ya binadam kujigamba kwake na kujifaragua kwake kote, wakati chakula chake kilicho bora zaidi na vazi lake lilo bora zaidi Vina toka tumboni mwa mdudu.
Waandishi wawili wa Zimbabwe wamekamatwa kuhusiana na ripoti ya gazeti moja ilioelezea kwamba afya ya rais wa taifa hilo Robert Mugabe 'imedhoofika' alipoelekea nchini Singapore kwa kile afisi ya...
mkuu wa mkoa wa simiyu mh Anthony mtaka muda huu yupo live morning star tv akifunga mkutano mkubwa wa neno la mungu uliokuwa ukifanyika ktk kanisa la mabatini sda.
mkutano huo maarufu...
Naomba kama kuna wenye uzoefu wa kutuma gari kutoka USA kwenda Dar wanisaidie ni kampuni ipi au zipi ni nzuri hasa kuzingatia gharama. Je, ni bora kununua gari Japan kuliko kutuma gari unayotumia USA?
Habar wakuu, kuna mtu aliwatabiria baadhi ya waandishi wa habar waliomuandana kwa kunywa pombe kari akisema watakufa ifikapo mwezi March hadi leo sijasikia vifo vya waandishi bas piten hapa...
Habarini!
Naomba mtanzania yeyote anayesoma Delhi anisaidie mana niko kwenye mchakato wa kuja huko nmepata scholarship lakini sina pakufikia na chuo nilichokuwa admitted hakina hostel naomba...
Wanasiasa waliwaongoza watanzania kupitia bungeni na nje ya Bunge kupinga kwa nguvu zote mila potofu ya ukeketaji ambayo ni ukatili na unyanyasaji dhidi ya wanawake hasa wasichana. Taasisi...
Chinese supercar (Techrules AT-96) is the longest Range Hybrid Car. The Model has a Fuel consumption rating 1569 MPG (2525Km per 4 liters). Powertrain has 1030HP and 6300 LB-FT TORQUE, 0-60MPH in...
Nawasalimu wana jf wote na poleni kwa Nazi.
Mm nikijana mzalendo na ninaetafuta njia za kutoka kimaisha. Kwa professional mm no mwalimu WA primary Ila natamani sana kumiliki shule yangu Ila mtaji...
Sijawahi kusikia.hili..ila jana niliona mtu akicomment nawadanganya watu hiyosemina sibure kuna.kiingilio cha 5000 kumwona mwakasege
sijui kama anajua hili ...mmepewa bure toeni bure.hilo n neno...
Hivi Moderators wa humu jamii forum wanajulikana vipi?
Maana kuna wengine unaweza ukadhani kuwa ni moderators kumbe sio mwisho wa siku unamtumia taarifa zako za siri pm kumbe ni member mwenzako...
Msaada wakuu
Nauliza endapo kama nina mashine ya efd niliyokua natumia biashara A sasa baada ha ile biashara kufungwa kama naweza badilisha iyo mashine nikatumie kwenye biashara ya kampuni b
Aisee vodacom sasa hii imezidi, Jana nimejiunga 2GB nimestream video tatu tu youtube zenye urefu usiozidi dakika 30 naambiwa bundle limeisha.
Leo asubuhi nimejiunga 500MB nimeingia JF tu naambiwa...
Habari wanajamvi,
Nimetoka Tandika kuelekea Kariakoo na usafiri wa umma, ukweli ni kwamba baada ya basi kutushusha mwisho wa safari Kariakoo Gerezani, ukishuka wakati wa kutoka pale mlangoni...
Wadau mpaka Leo bado najiuliza Juu ya Babu wa Loliondo.Babu huyu maarufu kwa " Babu wa Loliondo" alipata umaarufu mkubwa Kwa kuwatangazia watanzania na watu wa nje ya mipaka yetu kuwa ameoteshwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.