biashara mpya imeshasajiliwa mkuuInafaa kaka,andika barua ya kufunga biashara wapelekee TRA waizuie TIN yako kuhesabiwa kodi kwa hii biashara ya mwanzo kisha andika tena barua ya kuanzisha biashara nyengine na ya ombi la kubadilishiwa matumizi ya EFD.au zaidi nenda zilipo office za TRA utapata elimu zaidi.
Note:usithubutu kutumia EFD machine kwa biashara ambayo mamlaka ya mapato hawajaisajili.wakija hata ukiwaambia hukujua kama ni kosa hawatakuelewa!
asante kwa maelekezoInafaa kaka,andika barua ya kufunga biashara wapelekee TRA waizuie TIN yako kuhesabiwa kodi kwa hii biashara ya mwanzo kisha andika tena barua ya kuanzisha biashara nyengine na ya ombi la kubadilishiwa matumizi ya EFD.au zaidi nenda zilipo office za TRA utapata elimu zaidi.
Note:usithubutu kutumia EFD machine kwa biashara ambayo mamlaka ya mapato hawajaisajili.wakija hata ukiwaambia hukujua kama ni kosa hawatakuelewa!
Kama imeshasajiliwa basi muhimu andika tu barua ya kubadilisha matumizi ya mashine mkuu.biashara mpya imeshasajiliwa mkuu