sab
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 5,730
- 4,277
Habari za kutwa wana jf…
Leo ndio ile siku ya kuhama mtandao bila kubadili line (sim card) kwa watumiaji wa simu zote Tanzani,
Nataka kujua kama kuna mtu amesha hama mtandao wake na changamoto zipoje katika kuhama na wepesi wake upoje pia,
Alafu nataka kujua kwa hizi pesa zetu kwenye (mobile money )nazo zina hama au inakuwaje ?
tupeane ma info