JembeNaNyundo
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 533
- 652
Msaada tutani. Wapi naweza pata Boric Acid kwa ajili ya kuua Mende?!!!
Waache tu mkuu mende pia ni viumbe wa mungu.
Tumia indomethacin capsules, inauzwa maduka ya dawaMsaada tutani. Wapi naweza pata Boric Acid kwa ajili ya kuua Mende?!!!