Ukiwa mpinzani nchini Tanzania unatakiwa ujiandae kiakili. Wema Sepetu na Mzazi wako mmejiandaa?
========================================================
Mariam, ambaye ni mama mzazi wa mrembo...
miaka ya zamani kuanzia ya 80 ukisikia omba omba asilimia 90 ni watanzania wasiojiweza na wenye ulemavuuu.
miaka ya karibuni tuhuma za kuomba omba zilikuwa upande wa kina dada...
wakihojiwa na Zamaradi
sasa sijui huyo Mtume Gwajima na wenzake waliwafikia lini hao kina Daud Albert Bashite au walioteshwa ?
Mzee Makonda ni Mzee wa Kanisa huko kwao kwa kina Gwajima na akina...
Wafanyabiashara wa asali katika wilaya ya Ikungi, mkoani Singida waliopo kando kando ya barabara kuu Singida - Dodoma, wamepewa muda wa mwezi mmoja kuanzia sasa, kutumia vifungashio halisi badala...
Naangalia ziara ya mh Rais Magu huko Mtwara TBC wanaonyesha moja kwa moja lakini niuozo mtupu, matangazo yanakata kata bila moangilio, hawasikiki vizuri yaani natamani kuvunja TV......
Ningehamasisha utii bila shututi.
Ningehamasisha kulipa kodi,
Ningejitahidi kupata imani toka kwa wananchi,
Ningejiepusha na kila makosa ya chama tawala,
Ningejitenga na waovu,nchi Ina watu wengi...
Nimekaaa nikatafakari sana baada ya leo kusikia kuwa eti ni siku ya Kupiga vita madawa ya kulevya; nikamsikiliza na Lukuzi nae, mmmmhhhh nikajiuliza hivi, kila siku tunaona madawa mbali mbali...
Huko nyuma nilielezea mapungufu mengi sana ya kampuni ninayoifanyia kazi ( Cocacola Kwanza company Dar-Mikocheni ) ambapo wachache wakatafsiri kwamba eti kufanya vile ni kuiponda kampuni.
Ndugu...
MAKUBWA YAFICHUKA FARU JOHN, MAGARI 15, WATU 56 WALISHIRIKI KUMHAMISHIA GRUMETI
Maofi sa wa Wizara ya Maliasili na Utalii, wataalamu kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA), wafanyakazi wa...
Wakuu nimeona ili nije kulisema humu uko kwenye magroup ya whatsapp kuna group moja linaitwa TV kiganjani, ili group ni la matapeli kwa sababu gani nasema ivyo wale wahusika wakuu yaani...
NA MPONGEZA MAKONDA ZAIDI YA KUMLAUMU
Ndugu wanajamvi, napenda kuchukuwa nafasi hii kumpongeza Ndugu yetu Mkuu wa Mkoa wa DAR Mh. Makonda, kwasababu zifuatazo ,
Ni kijana ambaye amezaliwa...
Muheshimiwa Mimi naona huna sababu ya kuendelea kujibu kuhusiana mambo ya vyeti tunachoitaji ni utendaji wako hakika utashinda watajadili alafu watakaa kimya pambana.HAPA KAZI TU.
Habari wakuu,
Hapa bongolala tumekuwa na misamiati isiyo rasmi ambayo imekuwa ikitokana na matukio ya watu au matendo ya watu na kupelekea kuwa msamiati.
Mfano wa maneno hayo ni
1. Kihiyo -...
TAARIFA: Karibu katika Ibada ya
Jumapili 05/03/2017 katika
Kanisa la Ufufuo na Uzima,
Ubungo, Dar es Salaam.
Nitakuwepo kufundisha na
kuwaombea wenye shida na
matatizo mbalimbali. Kama ilivyo...
Ndugu Lizaboni popote ulipo tafadhali njoo huku JF. Tumezimisi jumbe zako na michamgo mbalimbali uliyokuwa unaitoa- hasa jukwaa la Siasa. Nakumbuka wakati wa uchaguzi mkuu mwaka jana, jinsi...
Elimu ya Tanzania ni majanga huu ni wakati muafaka kufanya utafiti ulio bobea kuhusu hujuma za kielimu kuanzia miaka ileee kulikuwa uhaba wa elimu ya sekondali vijana na watoto wa kipindi hicho...
Nianze kwa kusema kwamba binafsi uwa nawaza saana nikiitafakari hii dunia na historia ya binadam mabadiliko na maendeleo yake huku nikijaribu kuitazama nafasi ya mtu mweusi ktk mwendo huu wa...
Mnamo tarehe 02/03/2017 nilifika stand kuu ya mabasi yaendayo mikoani maalufu kama Msamvu terminal Morogoro nikasoma tangazo Abood bus service kutoka Dar-Tunduma nikalipia tiketi kwaajili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.