Joselela
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 5,949
- 7,730
Mbeya, ugonjwa wa nguruwe umeibuka tena na round hii ni mkali zaidi kuliko iliyowahi kutokea hapo awali(nyuma).
Serikali ya mkoa wa Mbeya imewaagiza Maafisa Afya wa wilaya kuhakikisha mifugo hiyo haivuki wilaya moja kwenda wilaya nyingine ilikuia kuenea kwa ugonjwa huo ambao umetajwa kuwa ni mbaya zaidi kutokea katika historia ya ugonjwa huo mkoani Mbeya.
Onyo: Usile nyama ya nguruwe ambayo haijaiva vizuri hasa katika maeneo ya starehe au usitumie kabisa.