Jaby'z
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 4,303
- 7,629
Aisee vodacom sasa hii imezidi, Jana nimejiunga 2GB nimestream video tatu tu youtube zenye urefu usiozidi dakika 30 naambiwa bundle limeisha.
Leo asubuhi nimejiunga 500MB nimeingia JF tu naambiwa "Low MB alert"
inaonekana mnaandika 2GB kumbe kiuhalisia ni 500MB,kama ndio hivyo kwanini mdanganye kama mmepunguza MB si mseme??