chiefnyumbanitu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 906
- 426
Habari wanajamvi,
Nimetoka Tandika kuelekea Kariakoo na usafiri wa umma, ukweli ni kwamba baada ya basi kutushusha mwisho wa safari Kariakoo Gerezani, ukishuka wakati wa kutoka pale mlangoni. Pale unatakiwa utoke kiubavu ubavu, ombi kwa wahusika mtuongezee upana wa mlango maana tunatoka kwa shida na kuingia kwa shida.