e2n
JF-Expert Member
- Dec 24, 2015
- 637
- 793
Nawasalimu wana jf wote na poleni kwa Nazi.
Mm nikijana mzalendo na ninaetafuta njia za kutoka kimaisha. Kwa professional mm no mwalimu WA primary Ila natamani sana kumiliki shule yangu Ila mtaji wa kuanzishia sina hivyo naomba ushauli wenu ninaweza kuganyaje ili nifikie malengo yangu.
Na katika hilo swala LA shule ninauzoefu kidogo niliwahi kufungua kashule ka chekechea( Awali) Ila haikuwa imesajiliwa ikafungwa sasa natamani nije kufungua ambayovitakuwa kihalali Ila ndo mtaji sina.
Naombeni ushauri ndugu zangu au hata kama utakuwa unafahamu shirika ambalo linaweza nisaidia ukinipa msaada nitashukuru sana.
Nipo mkoa WA pwani wilaya ya rufiji.
Karibuni.