Moderators wa JF nitawajuaje?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,415
21,110
Hivi Moderators wa humu jamii forum wanajulikana vipi?

Maana kuna wengine unaweza ukadhani kuwa ni moderators kumbe sio mwisho wa siku unamtumia taarifa zako za siri pm kumbe ni member mwenzako

Mfano huyu Cookie sina imani kama na yeye ni moderator au lah

Screenshot_2017-03-04-17-58-35_1.jpg



Msaada tafadhari nataka niwajue ma moderators ikiwezekana kuwe na vialama maalumu ambavyo haviwezi kutumiwa na member yoyote yule ambaye sio moderators

Hii itasaidia hata wale wanaojiunga hivi karibuni kujua nani moderators wa kweli nani feki

Pia ikiwezekana kila moderator ataje cheo chake na kazi yake
 
Heee binti wa aunt ezekiel(cookie) amekua bana mpaka kuja kuchat jf!?
 
Back
Top Bottom