Kutuma gari kwenda Dar kutoka USA

Olecranon

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,384
751
Naomba kama kuna wenye uzoefu wa kutuma gari kutoka USA kwenda Dar wanisaidie ni kampuni ipi au zipi ni nzuri hasa kuzingatia gharama. Je, ni bora kununua gari Japan kuliko kutuma gari unayotumia USA?
 
Gari ina usukani upande gani? Tanzania na Marekani zinaendesha pande tofauti na hilo linasababisha sukani ziwe pande tofauti. Hilo ushafikiria?
 
Gari ina usukani upande gani? Tanzania na Marekani zinaendesha pande tofauti na hilo linasababisha sukani ziwe pande tofauti. Hilo ushafikiria?
Uko kushoto lakini sio gari ya abiria. Nayaona kama haya Tanzania.
 
Uko kushoto lakini sio gari ya abiria. Nayaona kama haya Tanzania.
Kama unafahamu hilo sawa. Nilitaka kukukumbusha tu.

Mimi nikitaka kutuma gari huko hilo ni la mubimu sana. Ukituma ya huku kama yalivyo unalazimisha
 
Back
Top Bottom