Serikali itoe tamko kuhusiana na stock ya "Viroba" iliyobaki madukani

Mavipunda

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
7,018
7,766
Serikali ilipiga matumizi ya "viroba" kuanzia tarehe 1March 2017.Lakini kama kawaida ya awamu hii hawakutoa maelekezo ya wapi vipelekwe viroba vilivyokuwa maghalani au madukani.
Sasa hivi Wanasiasa Uchwara na Ma RPC wanaopenda kazi "laini" wameona ndio pakupatia kiki.
Wanavamia maduka na kutangaza wamekamata shehena za viroba(hata aibu hawana).Yaani wanajitangaza utadhani wamekamata risasi au pembeni za ndovu. Sasa kama mlipiga marufuku gafla vile bila ya kueleza utaratibu wa fidia(kama nchi za wenzetu) au hata viharibiwe kwa mfumo upi mlitegemea nini.
Awamu hii viongozi wamekaa standby kutafuta kiki tu na sio kufanya kazi kama wanavyojitapa.
 
Back
Top Bottom