Mkuu wa mkoa Simiyu afunga mkutano mkuu wa wasabato Mwanza

Ilisolokobwe

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
1,856
811
b7af99d74788da11e65c0a7d9063ce42.jpg
mkuu wa mkoa wa simiyu mh Anthony mtaka muda huu yupo live morning star tv akifunga mkutano mkubwa wa neno la mungu uliokuwa ukifanyika ktk kanisa la mabatini sda.
mkutano huo maarufu unaojulikana kama(mahubiri) umefanyika kwa muda wa majuma matatu na hadi leo kanisa limevuna roho11002. watu wote hao wamempokea yesu kama mwokozi wa maisha yao.
 
Back
Top Bottom