Wewe ni HE or SHE?,JIBU KWANZA KAMA UNATAKA MSAADA.Habarini!
Naomba mtanzania yeyote anayesoma Delhi anisaidie mana niko kwenye mchakato wa kuja huko nmepata scholarship lakini sina pakufikia na chuo nilichokuwa admitted hakina hostel naomba anipm tuongee.
Asante mkuu!Hongera mkuu kwa kupata scholarship.
Lakini mkuu ombi lako mbona limekosa taarifa za muhimu...kama Chuo ulichokuwa admitted which will determine ypur location in Delhi and therefore location ya best person wa kukusaidia? Pia hakuna indicative dates za wewe kufika huko lakini pia ungegusia preference yako ya aina ya accommodation unayotaka na hata kama uko flexible kwenye hilo unatakiwa useme wazi. How about your budget for accommodation? Jisaidie ili uweze kusaidiwa appropriately. Bila details kama hizi na nyinginezo utasaidiwaje sasa?
Daaah...anyways haya mkuu. Kila la kheri na nisamehe kama nimekuwa unreasonably hard kwako.
Basi poa,maana avatar nazo zinachanganya,anyway unisamehe kama nimekukwaza.Mkuu mimi mwanaume.
watanzania tunapendana sanaNichek niko china ila nimesoma New Delhi nimemaliza mwaka jana ila nna marafik weng kule naweza kukusaidia mtu +8613274240212
Rs. 5000 ni pesa ndogo sana kwa mji kama New Delhi. Kwanza nikushauri utafute mwenyeji haraka sana na serious. Wahindi ni wabaguzi sana japo sisi tumewaweka posta na Kariakoo. Mswahili kupangishwa nyumba sio kitu kidogo na rahisi kama hapa nyumbani!Asante mkuu!
Chuo ni Teri university, suala la accommodation niko flexible ila iwe karibu na chuo kuhusu budget rs5000, nategemea kwenda tarehe 20 mwezi wa saba,2016.
Nipo UJERUMANI Kologne ila last week nilikuwa pale nina jamaa zangu nitakupa namba zao ...nicheck hapa +49 1578 6457205Habarini!
Naomba mtanzania yeyote anayesoma Delhi anisaidie mana niko kwenye mchakato wa kuja huko nmepata scholarship lakini sina pakufikia na chuo nilichokuwa admitted hakina hostel naomba anipm tuongee.
Habarini!
Naomba mtanzania yeyote anayesoma Delhi anisaidie mana niko kwenye mchakato wa kuja huko nmepata scholarship lakini sina pakufikia na chuo nilichokuwa admitted hakina hostel naomba anipm tuongee.
asante mkuu Goodluck Mshana ndo niko kwenye mchakato wa kumpata mtu ambaye atakuwa mwenyeji wangu huko, asante sana kwa ushauri wako, je kwa allowance ya Rs23, 000/= kwa mwezi inatosha kuendesha maisha nikiwa huko delhi.?Rs. 5000 ni pesa ndogo sana kwa mji kama New Delhi. Kwanza nikushauri utafute mwenyeji haraka sana na serious. Wahindi ni wabaguzi sana japo sisi tumewaweka posta na Kariakoo. Mswahili kupangishwa nyumba sio kitu kidogo na rahisi kama hapa nyumbani!
Kama ni wakiume nakutahadharisha kabisa kuwa mbali na mabinti wa kihindi. Wahindi hawapendi ku-share mapenzi na strangers au maskini. Wakigundua hawaoni hatari kukuua! Subiri binti ajipendekeze mwenyewe na uwe mwangalifu. Mapenzi holela ni hapa bongo tu. Vijana wa India ukitembea na dada zao wanahisi kama unawafanya wao. Hivyo hawakukawizi. Tafuta mwenyeji.
asante mkuu Goodluck Mshana ndo niko kwenye mchakato wa kumpata mtu ambaye atakuwa mwenyeji wangu huko, asante sana kwa ushauri wako, je kwa allowance ya Rs23, 000/= kwa mwezi inatosha kuendesha maisha nikiwa huko delhi.?
Lakini madada zao rahisi kutongozeka au na wao wagumu mkuu??Rs. 5000 ni pesa ndogo sana kwa mji kama New Delhi. Kwanza nikushauri utafute mwenyeji haraka sana na serious. Wahindi ni wabaguzi sana japo sisi tumewaweka posta na Kariakoo. Mswahili kupangishwa nyumba sio kitu kidogo na rahisi kama hapa nyumbani!