Ningekuwa Mbowe.

ndayilagije

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
7,491
8,300
Ningehamasisha utii bila shututi.
Ningehamasisha kulipa kodi,
Ningejitahidi kupata imani toka kwa wananchi,
Ningejiepusha na kila makosa ya chama tawala,
Ningejitenga na waovu,nchi Ina watu wengi wasafi.,
Ningejiandalia mazingira mazuri ya kutawala kidemocrasia,
Ningetoa misaada kwa wahitaji,
Ningejiepusha sana na watu kutoka upande wa pili,hasa walioshindwa,
Kwa kuwa mimi siyo yeye nimebaki kumtazama tu,labda anajua analofanya.
 
Dj uwezo wa kufikiri ni mdogo, wewe kama alipata zero unategemea nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom