Elimu ya Tanzania ni majanga huu ni wakati muafaka kufanya utafiti ulio bobea kuhusu hujuma za kielimu kuanzia miaka ileee kulikuwa uhaba wa elimu ya sekondali vijana na watoto wa kipindi hicho walihaha kutafuta elimu na kwakuwa shule zilikuwa ni za serikali tu kulifanyika udanganyifu sana ikiwemo kurudia shule kwa kubadili majina nk.baada ya hapo zikaja sekondari binafsi hapo ikawa biashara waliosoma serikalini wakapata vikwazo vingi tofauti na binafsi lkn kukawa na tatizo la vyuo vikuu ambapo vyuo vya serikali havikukidhi mahitaji vikaanzishwa vya binafsi hapo napo biashara ikaanza ule umangimeza wa vyuo vya serikali ukaanza kupungua watuwakapata vyeti visivyoendana na taaluma husika pia wajanja wajanja wakafanikiwa sana maana kipindi hicho kilichotakiwa ni cheti kizuri bila kujali umahili hapo sasa tulishuhudia mavyeti mpaka degree za chupi.Tukitaka kusafisha elimu yetu wanazuoni wanatakiwa kufanya tafiti bila kuacha historia ya elimu ingawa wahadhili wetu wamekuwa wanasiasa na kuwaradiclerize wanafunzi wao nakutengeneza kizazi cha watumiaji wa madawa ya kulevya nasisi wazazi tumeweka nguvu kubwa kuwapeleka watoto wetu kwenye shule za kujifunza lugha ya kiingereza na tunaona fahari mtoto akiongea lugha ya kigeni hali inayosababisha wafikiri kwa kutumia lugha hiyo ya kigeni na kushindwa kufikiri nje ya box hivyo basi vita hii mnayoishabikia ni kubwa nainaweza kugusa kila familia muhimu hapa tukomae na hii biashara ya madawa ya kulevya kwasababu inavuka mipaka ya Tanzania wengi wameuwawa kwakuonesha nia tu ya kutaka kupiga vita biashara hiyo.