kokakola
Member
- Nov 25, 2015
- 30
- 17
Huko nyuma nilielezea mapungufu mengi sana ya kampuni ninayoifanyia kazi ( Cocacola Kwanza company Dar-Mikocheni ) ambapo wachache wakatafsiri kwamba eti kufanya vile ni kuiponda kampuni.
Ndugu zangu, kitanda usicholalia haujui kunguni wake.
Waulizeni wafanya kazi watanzania walio katika idara ya Sells and Marketing watawaambia jinsi wanavyonyanyaswa na raia wa kihindi Nalak.
Naumia sana ninapoona vijana wana elimu na vyeti lakini hawana kazi. Huku kwetu kama una vyeti arafu hauna ndugu HR kupata kazi ni ngumu.
Huku kwetu ( Cocacola kwanza ) si ajabu ukakuta mtu hana elimu ya kutosha lakini anapewa wadhifa fulani kisa anajuana na fulani. Hasa Sells and Marketing.
Huku kwetu ( Cocacola Kwanza ) watu wakitaka wakufukuze kazi hauwezi kukwepa. Utatafutwa hadi uingie kwenye 18. Wanakung'oa wewe kisha nafasi yajo anapewa nafasi ndugu/rafiki/ au mpenzi wa boss fulani. TUICO wanalijua hili tulishawaambia sana.
Bajeti ya bima ya mwaka kwa mfanyakazi awamu hii imewekwa kiduchu sana hadi naona aibu kutaja.
Huku kwetu ukiwa manager wa idara fulani arafu ukajifanya kuwatetea sana watu wako nakuhakikishia utazushiwa jambo mwisho watakufukuza kazi kama ilivyokuwa kwa akiyekuwa Manager wa idara ya production aliyeitwa Job.
Hivi idara ya production itapata mtu kama job?. Hivi Manager wa sasa hivi ( James ) yupo kama Job??? au anamfikia japo robo tu?.
Hivi Cocacola ya mkoani mbeya itampata mtu kama Shilazi ambaye huyu aliamua kuacha kazi mwenyewe.
Sijui inakwenda wapi hii kampuni yangu.
Enzi hizo miaka ya 90 vibarua walikuwa wakilipwa ujira direct kutoka kwenye kampuni. Lakini siku hizi kibarua anafanya kazi. Kisha pesa yake anapewa mtu wa katikati anayejiita dalali wa ajira kisha yeye ndo anampa hiyo pesa. Utaratibu huu upo sana hapa tanzania na hakika hizi kampuni za udalali wa ajira zinamnyonya sana huyu kijana mfanyakazi anayeitwa kibarua.
Huku kwetu kuitoa hii kampuni ya udalali wa ajira ni ngumu sana MAANA INASEMEKANA kuna bwana mmoja mkubwa sana pale HR ana mkono wake kwenye hii kampuni.
Mkurugenzi ( MD ) Basil Gadzious alianzisha zoezi la kutoa zawadi kwa wafanya kazi bora kila baada ya miezi mitatu. Zawadi ni laki nne. Ila ukiichukua hiyo laki nne mwisho wa mwezi kwenye mshahara wako itakatwa kama ilivyo. Yani ni kama vile unakopeshwa arafu unalipa. Hili ni jipu na TUICO tulishawaambia juu ya hili.
Mkurugenzi huwa anatoa zawadi kwa shift bora. Ila kinachoacha maswali na minong'ono ni kwamba tunaonaga siku husika idara ya production kwa shift inayoshinda wafanyakazi wote hupewa zawadi hata kama siyo waajiriwa. Ila kwa idara ya Ware house tunashangaaga kwenye shift inayoshinda kuna wafanyakazi huwa hawapewi chochote. Hata kuwaita tu na kuwapa hongera japo kwa kuwapa mkono tu huwa haipo.
Mwisho ningependa kuishauri kampuni yangu ipaangalie sana pale check point. Kuna watu siyo waaminifu. Naomba nirudie tena *KUNA WATU SIYO WAAMINIFU*. Pia kuna walinzi *SIYO WAAMINIFU*.
Mwisho kabisa naomba niishukuru sana Jamiiforums kwani thread zangu kadhaa nilizowahi kuzipost humu JF zilisomwa na wahusika na kwakweli baadhi ya mambo yamerekebishwa.
Naomba kuwathirisha