Kwa kweli TBC1 mnaboa sana :

Kwa kweli TBC1 mnaboa sana :

Bahimba

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
510
Reaction score
346
Naangalia ziara ya mh Rais Magu huko Mtwara TBC wanaonyesha moja kwa moja lakini niuozo mtupu, matangazo yanakata kata bila moangilio, hawasikiki vizuri yaani natamani kuvunja TV......
 
Fungulia azam au clouds!hiyo t.b.c ilishakufaga!
 
Back
Top Bottom