Mnakaribishwa Jumapili ya leo kupata neno..

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
20,051
23,499
TAARIFA: Karibu katika Ibada ya
Jumapili 05/03/2017 katika
Kanisa la Ufufuo na Uzima,
Ubungo, Dar es Salaam.
Nitakuwepo kufundisha na
kuwaombea wenye shida na
matatizo mbalimbali. Kama ilivyo
kawaida miujiza na mambo
mengine makubwa yatafanyika.
Kanisa liko ubungo karibia na
jengo la TANESCO. Ibada itaanza
asubuhi saa mbili kamili na Pia
itarushwa live kwenye YouTube
kupitia Channel hii
www.youtube.com/user/
ufufuonauzima
Mtaarifu na mwenzako.
@bishopgwajima @bishopgwajima
@bishopgwajima
 
Tafadhar tunaomba updates zote kwa kila kitakachojili uko wapendwa
 
Ni nani huyo asiyejipenda ajitokeze eti kutoa ushuhuda, na kwenye clip Steve alisisitiza 'yeye ana dola mama'
 
Leo gwajima akimwaga mboga serikali ikalifumbia macho swala la bashite, basi ndalichako kwisha habari yake. Ataanzia wapi kuongelea vyeti feki???

Watumishi wenye vyeti feki kuleni bata kuku waone wivu, hakuna wa kufungua mdomo bashite kashafanya yake amewaokoa.

Twende kanisani leo nakaa mbele kama mke wa balozi wa nyumba kumi.
 
Napenda sana kile kipindi cha mchungaji kuongea na familia yake. Yanipasa kuhudhuria ibada hii.
 
Nipo hapa Manzese darajani nikielekea kanisa la Ufufuo na uzima
 
Nipo kwenye mwendokasi baba mchungaji...najaaaa babaa kumsikiliza huyo mzee kutoka kol me jei
 
Dah! Watu siku hizi mnaenda kusikiliza mambo mengine kabisa tofauti na NENO la Yesu.

Mambo kweli yanabadilika.

Gwajima ajikite kwenye Utumishi, aachane na hayo mengineyo.
 
Back
Top Bottom