Niulize chochote kuhusu Mobile Number Portability(MNP)

Sura Mbovu

Senior Member
Feb 8, 2017
136
71
Habari zenu wakuu.

Nakaribisha maswali kuhusu huduma hii ya kuhamia mtandao mwengine pasipo kubadili namba ya simu.
a9c48502ecf7cf1d46d7d6b044b85990.jpg

Karibu.
 
unahamaje ss, binafsi nataka sana kulijua hili mana nimechoka kubeba simu mbili mbili
 
Tupe ujuzi namna ya kuhama coz kubeba masim meeengi sio isue kwasasa
 
Kwa mfano Nina chip yangu kwenye simu wakati huu kwa huduma hii naweza nikahama kutoka mtoa huduma Huyu kwenda kwenye namba yangu nyingine ya mtoa huduma mwingine pasi kubadili chip?
 
Tupe elimu hyo kiujumla
Kwa nini kuhama mtandao mmoja kwenda mwingine itumie siku 30?
Je kwa chip yangu ya tigo naweza kuweka vocha ya halotel?
Je mtu akihama kutoka Vodacom ....je Vodacom bado watakuwa na uwezo wa kumdukua na kutoa hadharani mawasiliano yake kama walivyofanya kwa lema,mama wema sepetu na steve nyerere katika kuhakikisha Wateja wao wanafungwa?
Tupe ujuzi namna ya kuhama coz kubeba masim meeengi sio isue kwasasa
Kwa mfano Nina chip yangu kwenye simu wakati huu kwa huduma hii naweza nikahama kutoka mtoa huduma Huyu kwenda kwenye namba yangu nyingine ya mtoa huduma mwingine pasi kubadili chip?

Naona mmeingia choo cha kike... Mleta mada mwenyewe kawa adimu kama kakakuona.
 
Je mtu akihama kutoka Vodacom ....je Vodacom bado watakuwa na uwezo wa kumdukua na kutoa hadharani mawasiliano yake kama walivyofanya kwa lema,mama wema sepetu na steve nyerere katika kuhakikisha Wateja wao wanafungwa?
Hapana mkuu wanakuwa hawana uwezo huo coz wameshavunja mkataba na mteja hvyo hawana uwezo tena wakupata taarifa za mteja alie hama tayar
 
Kwa mfano Nina chip yangu kwenye simu wakati huu kwa huduma hii naweza nikahama kutoka mtoa huduma Huyu kwenda kwenye namba yangu nyingine ya mtoa huduma mwingine pasi kubadili chip?
Hapana kwakuwa huduma hii inahtaji 1.utumie namba ileile
2.uende physically kwa mtoa huduma unaetaka kuhamia maana yy pekee ndie awezae kukuhamisha. We kama ww huezi bali lazma ufike kwa mtoa huduma umpendae mf. Tgo shop, voda Shop, airtel, zantel shops n.k
 
basi hii huduma ni usumbufu tu usio na maana kwa hiyo ukitaka kumiliki laini ya mtandao mwingine unapaswa kuvuta subira for 30 days. du
 
Tupe elimu hyo kiujumla
Kiufupi unaweza kuhamia mtandao mwngne pasipo badili namba yako. Mfano mm natumia tgo 0712 123456 nahama kwenda voda au zantel, sasatel, halotel, smart au ttcl
Nahamia nkiwa na hii namba yangu 0712 123456 nakutumia huduma ZA mtandao nliohamia. Nnachotakiwa ni kwenda ofisi za mtandao ninaotaka kuhamia na wao ndio wanaowezesha mm kuja kwenye mtandao wao.
 
Hapana mkuu wanakuwa hawana uwezo huo coz wameshavunja mkataba na mteja hvyo hawana uwezo tena wakupata taarifa za mteja alie hama tayar
Afadhali,Vodacom watu wabaya sana

Ila baada ya usajili Vodacom,document za usajili zinabaki Vodacom? Au hupelekwa TCRA?

Na je nikihama mtandao kwenda tigo basi Vodacom huwajibika kuwapelekea nyaraka za usajili wangu tigo?

Kuna limit ya muda kuhama kutoka mtandao mmoja kwenda mwingine,mfano leo nikihama Vodacom na kuhamia tigo,siwezi kurudi voda mpaka baada ya mfano siku 30 au miezi 3?
 
Je mtu akihama kutoka Vodacom ....je Vodacom bado watakuwa na uwezo wa kumdukua na kutoa hadharani mawasiliano yake kama walivyofanya kwa lema,mama wema sepetu na steve nyerere katika kuhakikisha Wateja wao wanafungwa?
Mkuu...
Tuhuma nzito km hii sio sawa kuitoa kholela holela..io kampun n kubwa sana..angalia kodi wanayolipa.kashfa ndogo kwao n big issue. .ya lema siyajui bt ya wema embu tumia common sense..pale io kampun wamehusika vp..au umesklza clip nusu..haiiitaji utaalam wwte wa mitandao kujua alierekod ni mshamba wa mitandao kwa faida ya so called bnt yake.
All in all..kampuni kubwa hizi kwa kuzipa cheap scandals hua jau
 
Swali: (1) nikiamua kuhama kutoka voda kwenda Halotel nikiwa na salio la mpesa itakuwaje?
-(2) hii huduma ya Mobile number portability je itatupunguzia mzigo wakubeba simu mbili au zaidi?
 
Back
Top Bottom