Swali la Kizushi; Bangi ikikamatwa inachomwa, Cocaine Inakwenda wapi??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali la Kizushi; Bangi ikikamatwa inachomwa, Cocaine Inakwenda wapi???

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Elli, Jun 24, 2012.

 1. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Nimekaaa nikatafakari sana baada ya leo kusikia kuwa eti ni siku ya Kupiga vita madawa ya kulevya; nikamsikiliza na Lukuzi nae, mmmmhhhh nikajiuliza hivi, kila siku tunaona madawa mbali mbali yakikamatwa ikiwa ni pamoja na Bangi, Cocaine na mengineyo; Juzi hapa wakakamata bangi kilo mia nne, shamba la bangi Korogwe likachomwa moto na kwingineko.

  Je, Cocaine na madawa ambayo yako imported huwa yanapelekwa wapi? Yamehifadhiwa wapi na kwa ajili gani?
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Naskiliza bunge wanasema kilo elfu kumi za Cocaine zilikamatwa, swali ni je ziko wapi??? zilichomwa? zilitupwa? mmmmm
   
 3. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,105
  Likes Received: 7,363
  Trophy Points: 280
  Zinabwiwa
   
 4. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Duh hii kali, sikujua bhana MANI unasemaje?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. MANI

  MANI Platinum Member

  #5
  Jun 25, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Zinageuka unga wa sembe ndio maana hakuna mtu anafungwa kwenye issue's hizi !
   
 6. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Hahahaaa kaaazi kweli kweli
   
 7. kussy

  kussy JF-Expert Member

  #7
  Jun 25, 2012
  Joined: Jun 15, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Huwa yanaharibiwa kwenye tanuri za Twiga Cement Wazo hill
   
 8. G

  Ginner JF-Expert Member

  #8
  Jun 25, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  Anapewa bakhresa aweke kwenye unga na vinywaji kuwalisha waswahili......ivi nyie hali ya nchi ilivyo, na wananchi hawachukui hatua yoyote hamuhisi ni uzezeta....kiukweli wadanganyika haya madawa yanatuhusu...tumepumbazwa akili zetu si za kawaida
   
 9. B

  Belik Member

  #9
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na Meno,Pembe za Ndovu vipi ziko wapi sijasikia zikichomwa Kama Kenya
   
 10. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #10
  Jun 26, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 60
  Nadhani hupelekwa Bungeni, wengi wa wabunge ni Walaji wa hii Bidhaa.
   
 11. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #11
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Hahhahahaaaa utani mwingine kama kweli vile, ina maana ile kulala lala ovyo na kuropoka na kupitisha bajeti kumbe ni kwa ajili hii? kaazi kweli
   
 12. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #12
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  kama vile kuna point hapa eeeehhhhh, mie simo
   
 13. afrique

  afrique JF-Expert Member

  #13
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 495
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kuna madawa ya kulevya yalikamatwa mbeya,kufikishwa kituo cha polisi yamepungua,je!yalienda wapi na yalikuwa mikononi mwa polisi!
   
 14. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #14
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Naikumbuka sana ile story na mengine yalikamatwa Mazimbu Morogoro achilia mbali zile kilo kadhaa zilziokamatwa Mtwara, mmmh ukifuatilia sana unaweza kuumwa kichwa bure
   
 15. mchlmmnl2

  mchlmmnl2 Senior Member

  #15
  Feb 13, 2014
  Joined: Jul 13, 2013
  Messages: 168
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 33
  Jamani nahitaji maelezo kuhusu dawa za kulevya zinazokamatwa Tanzania zinapelekwa wapi maana nyingine sioni ziki teketezwa wala nini au zinarudi kwenye mzunguko? Au zinatunzwa benki ya madawa(sembe)? Au zitaangamizwa zikiwa nyingi? Au.......?
   
 16. r

  rolla JF-Expert Member

  #16
  Feb 16, 2014
  Joined: Apr 20, 2013
  Messages: 1,235
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  Zinayeyuka mkuu
   
 17. ISACOM

  ISACOM JF-Expert Member

  #17
  Feb 17, 2014
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 261
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Mara nyingi madawa haya yanatumika hospitalini kama sehemu ya tiba,,sema mitaani yanatumika vibaya,,nje ya malengo

  Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
   
 18. ofisa

  ofisa JF-Expert Member

  #18
  Feb 17, 2014
  Joined: May 15, 2011
  Messages: 1,595
  Likes Received: 602
  Trophy Points: 280
  Hata mm najiuliza hata kama mtu. Yamemfia tumbuni hufanyiwa operation maalum kuyatoa nakutangaza kwamba wametoa kwa nn wasingeyazika nae tu.
   
 19. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #19
  Oct 20, 2014
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hili ni jambo ambalo nitalisimamia mahala popote pale na muda wowote ule, Serikali ya Tanzania ituambie ni wapi inapoyapeleka madawa ya kulevya (Unga) Maana tunasikia wakikamata Bangi wanazichoma ila Unga hatukawahi kuona mahala popote pale....


  Kama ishu nikuwa mahakamani hata Bangi ni madawa ya Kulevyia kwanini Bangi ichomwe hadharani na unga iwe kificho??? La sivyo Tutasema serikali inauza unga...
   
 20. nzalendo

  nzalendo JF-Expert Member

  #20
  Oct 20, 2014
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,875
  Likes Received: 2,682
  Trophy Points: 280
  Huwezi fanya hivyo kwani wote tunatafuta fedha
   
Loading...