Iwe hivi basi.

Iwe hivi basi.

Qunax

Senior Member
Joined
Oct 16, 2016
Posts
100
Reaction score
127
Siku hizi nasikia sikia kauli eti kuwa inshu ni utendaji sio vyeti.
Basi kama ni hivyo wale watumishi 16,000 waliotumbuliwa kwa kesi ya vyeti feki na sababu nyingine nao warudishwe kazini.sidhan kama wao hawakuwa watendaji.
 
Back
Top Bottom