Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wanajamvi. Tulizoea kutangaziwa kila mwezi mafanikio ya TRA katika makusanyo ya kodi na kutangaza katika vyombo vya habari kiasi kilichokusanywa. Ni miezi kadhaa sasa siyasikii matangazo...
0 Reactions
4 Replies
923 Views
HONGERENI SANA WANAWAKE HAKIKA NINYI NI MALKIA WA NGUVU. Tarehe 8 march kila mwaka tunaazimisha siku ya wanawake duniani, katika maazisho ya 2017 naomba tukumbushane haya kwa pamoja. Mwanamke...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kituo cha tbc 1 kimepewa onyo kali baada ya mtangazaji wake wa kipindi cha jambo tanzania kukiuka kanuni za utangazaji mnamo tarehe 15.8.2015! Afisa wa Tcra amesema mtangazaji huyo wakati akisoma...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wapinzani wa tz,wamekosa au wanakosea nini haswa kiasi kwamba hawawezi kuamina kupewa nchi,najua wapinzani wa bongo hawapendi kuwekeza ktk maeneo ya vijijini wakiogopa matope na vumbi,ugomvi ndani...
0 Reactions
8 Replies
942 Views
Nakumbuka Ulivyoanza Mapambano haya ya madawa ulisema upo tayar kwa lolote. Kwa kuwa zako Jasiri wamekuzushia una cheti feki ili mada ya madawa isiongelewe kbsaaa.. Mkuu wangu wa mkoa wewe ndiye...
6 Reactions
71 Replies
6K Views
CCM ni chama kisicho na mtazamo na kimekosa Dira tume ya kurekebisha Katiba ilipokuja na Hoja ya serikali tatu wao wakaipinga kwa kuangalia maslahi ya wanadamu na ninadhani wengine walisahau kuwa...
0 Reactions
1 Replies
654 Views
UMMY MWALIMU -UJENZI WA TANZANIA YA VIWANDA UENDE SAMBAMBA NA USALAMA WA CHAKULA Katika kuadhimisha Siku ya wanawake Duniani 2017, leo Mhe Ummy Mwalimu (Mb.) ameungana na wanawake wa Mkoa wa...
0 Reactions
0 Replies
867 Views
Habari za leo ndugu zangu? Bila shaka mu wazima kabisa...leo naomba tuzungumzie kuhusu siku ya wanawake duniani. Nimekuwa nashangazwa kila mwaka ifikapo tarehe kama ya leo basi watu husheherekea...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa! Lately! Kuna mjadala mzito juu ya uhalali wa Elimu ya mkuu wa mkoa wa D'salaam.. Ngd. Paul makonda (jina analotumia na linalodaiwa ni la kwake). Mjadala huu umechachamaa Sana...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mnyukano wa Godbless Lema Mbunge wa Arusha mjini na Mrisho Gambo RC mkoa Wa Arusha linaendelea na sasa limeingia kwenye hatua nyingine mpya baada ya mke wa Lema kukamatwa juzi na kuhojiwa na...
0 Reactions
73 Replies
11K Views
Huwez amin na wingu lote hili Akuna mvua ya maana itakayo nyesha nawaonea huruma watu wanakimbizana buree
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Wana jamvi, naomba kudadavuliwa ikiwezekana Kitaalamu tatizo la umeme kukatika ikianza kunyesha mvua na hata jua likiwa kali.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
UKOSEFU wa walimu wa hesabu umewafanya wazazi wa watoto wanaosoma katika Shule ya Sekondari Bagara wilayani Babati kuunda kamati ya kuboreshai taaluma shuleni hapo. Katibu wa Kamati hiyo, Dismas...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Nairobi acheni mayowe... PSPF Tower mpaka sasa ndio jengo refu zaidi Afrika ya Mashariki. Lina urefu wa mita 147.
7 Reactions
80 Replies
67K Views
Habari wadau, kuna ukweli wowote kuhusu njia ya mtoni kijichi kufungwa kutokana na mvua....mwenye taarifa atujuze
0 Reactions
44 Replies
5K Views
“Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) imeipa kibali EFM kwenda mikoani na tunaingia kwenye mikoa tisa. Hiyo ndio habari kubwa ambayo mkurugenzi wa EFM alitaka kuzungumza na wananchi hii leo ni...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ni katika nchi za maziwa makuu, nchi iliyo sifika katika sector ya uvuvi katika pwani ya mashariki na Kati , hii ni baada ya baraza la mawazir kufanya Uchaguzi sahihi wa afisa uvuvi aliyekuwa Na...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
WAPINZANI WAMEKOSA AGENDA ZA KUJENGA VYAMA VYAO Wapinzani wa Tanzania wamekosa agenda za kisiasa ndio maana wameamua kubeba agenda za kinafiki Leo hii wanasubiIia agenda kutoka mitandaoni...
0 Reactions
0 Replies
610 Views
Hivi karibuni kumekuwa na urushwaji wa picha za mchekeshaji na muigizaji maarufu wa kimarekani aitwae Will Smith akiwa katika mbuga zetu za wanyama lakini cha ajabu wala sijaona taasisi husika ama...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
#happy #womenday [emoji7][emoji7][emoji7][emoji257][emoji8] Wanawake Ni pepo zetu sisi wanaume wametulea Wametuweka miezi 9 Tumboni mwao wamepitia changamoto mbali mbali kipigo masimango...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom