Nathason2
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 598
- 680
Juzi alisikika Raisi Magufuli akiliagiza shirika la Umeme Tanzania TANESCO kulikatia umeme shirika la umeme Zanzibar/ZECO kutokana na kushindwa kulipa deni linalotokana na ZECO kutoridhia uamuzi wa TANESCO kuwauzia umeme kwa gharama wanazouziwa wateja wa Tanganyika
Kwa mtazamo wangu Endapo uamuzi huo utatekelezwa basi huenda utaibua hisia za utengano na mpasuko zaidi ya Nia njema ya raisi magufuli ya kusaidia TANESCO kujiendesha. Nionavyo mimi ni kheri TANESCO na ZECO wakaka meza moja wakajadiliana na kuona nmna ambavyo jambo hili linaweza kutatuliwa lakini sio kwa kuwakatia Umeme