Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni katika nchi za maziwa makuu, nchi iliyo sifika katika sector ya uvuvi katika pwani ya mashariki na Kati , hii ni baada ya baraza la mawazir kufanya Uchaguzi sahihi wa afisa uvuvi aliyekuwa Na...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
WAPINZANI WAMEKOSA AGENDA ZA KUJENGA VYAMA VYAO Wapinzani wa Tanzania wamekosa agenda za kisiasa ndio maana wameamua kubeba agenda za kinafiki Leo hii wanasubiIia agenda kutoka mitandaoni...
0 Reactions
0 Replies
610 Views
Hivi karibuni kumekuwa na urushwaji wa picha za mchekeshaji na muigizaji maarufu wa kimarekani aitwae Will Smith akiwa katika mbuga zetu za wanyama lakini cha ajabu wala sijaona taasisi husika ama...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
#happy #womenday [emoji7][emoji7][emoji7][emoji257][emoji8] Wanawake Ni pepo zetu sisi wanaume wametulea Wametuweka miezi 9 Tumboni mwao wamepitia changamoto mbali mbali kipigo masimango...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Inasemekana waarabu walikuwa weusi sio weupe,ni baada ya kuchanganyikana na makabila ya mashariki ya mbali ya Armenia na Russia ndio wakaanza kubadilika katika kuoana na watu weupe hawa.Hawa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nilivyokuwa najua ni kuwa matumizi ya serikali yote lazima yawe kwa mujibu ya bajeti, utaratibu wa sasa wa kutofuata bajeti iliyoidhinishwa na bunge inafanya kusiwe na maana kwa wabunge kukaa na...
0 Reactions
1 Replies
833 Views
Serikali, Bunge na Mahakama ni mihimili mitatu mikuu au rasmi ya dola! Kila mhimili umewekwa kwa jinsi ambavyo utakuwa huru kutimiza majukumu yake bila ya kuingiliwa na mhimili mwingine. Nguvu...
1 Reactions
1 Replies
8K Views
Ndugu zangu habari za majukum Mimi ni kijana mwenye Elim ya kidato cha 6, Nim Tanzania, nina miaka 32 sina mke, sina mchumba. Siku /wiki chache Niliona Uzi ambao uliletwa na ndugu mmoja ambae ID...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Leo ni siku ya wanawake duniani..Hongereni akina mama na wananawake kwa siku hii muhimu! Kero yangu ni moja tu, kauli mbiu ya siku hii ambayo nimeisikia ni wanawake kuwa nguzo ya uchumi..Cha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Meneja wa SIDO Mkoa wa Mbeya Henrick Mdede Akizungumza wakati Akifungua Mafunzo ya Ujasiriamali Mkoa wa Mbeya Meneja wa SIDO Mkoa wa Mbeya Henrick Mdede kawataka wanawake wa Mkoa wa Mbeya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu mambo vipi Naitaji mkopo wa milion tano na dhamana naweka shamba langu liko mkuranga mjini kwa yoyote alieko tayari anipm
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwani inakuwaje Zanzibar na Tanganyika zimeungana na kuwa nchi moja halafu mimi nimenunua screen kutoka visiwa vya karafuu badae naambiwa nilipie kodi ya tra wakati bidhaa imenunuliwa Tanzania
2 Reactions
81 Replies
10K Views
HISTORIA YA GIBBONS MWAIKAMBO: HISTORIA ILIYONISISIMUA SANA. Jioni ya leo hii nimebahatika kukutana na simulizi moja iliyonifurahisha sana, ni wasifu wa mtu maarufu sana hasa kwenye jamii ya...
6 Reactions
12 Replies
7K Views
Na kama hivyo ndivyo,itakuwa ni kwa gharama za nani?...na hata kama akimgharamia ni kwa kipindi gani? Manake kwa upeo wangu mdogo wa masuala ya usalama hawa jamaa wana visasi hata baada ya miaka...
5 Reactions
48 Replies
7K Views
Ni Vicenti l Siame Mh diwani wa kata ya chitete ambaye alikamatwa Jana na police lakini baadae akaachiwa kwa dhamana Na mpaka sasa haijajulikana alikamatwa kwa kutenda kosa gani Ila kwa taarifa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, nimejifunza kitu baada ya kumpeleka nduguyangu hospital na akagundulika kuwa damu yake imepungua sana na akaongezewa damu, na amepata nafuu na kuruhusiwa. Nimepata somo mubashara kabisa...
1 Reactions
0 Replies
824 Views
Dunia hii kama isingekuwa na mwanamke isingejaa watu tena ingekuwa ukiwa!! Adamu mwanaume Wa kwanza alijiona mpweke!! Hata mwenyezi Mungu akaona si vyema akae peke Yake!! Mwanamke ni kiumbe mhimu...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
wanajeshi wa mafunzo ya JKT maalufu kama makuruta wamefukuzwa na mkuu wa kambi pasipo sababu ya msingi baada ya mwezi 1 kwenye mafunzo kinacho semekana kuwa sababu ni maelewano mabaya kati ya...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Rafiki, Najua tangu tarehe 09/11/2016 umeshasikia mengi sana kuhusu Donald Trump, umeshaandikiwa na kusoma mengi kuhusu ushindi wake kwenye uchaguzi wa uraisi na kumwezesha kuwa raisi wa taifa...
6 Reactions
8 Replies
5K Views
TANZIA; TUMEPOTEZA WAJOMBA WAWILI KWA MPIGO. Ndugu zangu, tumepata misiba miwili mizito huko Musoma, Mara. Mjomba wangu mkubwa (kaka ya mama yangu mzazi aitwaye Mzee Sylivester Korogwe) amefariki...
14 Reactions
84 Replies
10K Views
Back
Top Bottom