Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,563
- 21,665
Wakuu,
Kumezuka vibaka maeneo ya chuo kikuu Utawala na njia ya kwenda Changanyikeni na Msewe.
Wizi huu unahusishwa na bajaji, yaani wezi hao wengine hupanda kama abiria wakishuka hukwapua pochi na kukimbia.
Hivi karibuni mama mmoja amekatwa mkono na wezi baada ya kutoka CRDB ya chuo kikuu kutoa hela .
Hapa naandika hivi maana nimeshuhudia mdada akikwapuliwa pochi.
Wahusika tusaidieni maana tumekosa amani, tunaomba sana.